Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

Moderator sijaona mantiki ya kuunganisha uzi wangu na huu.

hapa amealikwa mi nimeulizia ukimya wake uhusiano upo wapi??

Anyway nshajuaga hakuna UZI wangu kwenye jukwaa la SIASA uliowahi kubaki salama bora niwe napost majukwaa mengine maana mnaboa sana
 
Wengine wetu tuliacha kwenda makanisani kwa ujinga na wendawazimu huu
Sali na kuomba mwenyewe na Mungu wako aliye sirini atajibu maombi
Makanisa yamegeuka genge la wahuni
Sadaka yako peleka mahosptalini saidia wagonjwa yatima na wenye shida
 
Labda kesho wanaweza kuwafkria
Wafanyakazi wakumbukwe kwa nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja
kikokotoo kiangaliwe upya-kirudishwe kama kilivyo kuwa kabla mwendazake hajawa rais
Mifuko ya jamii irudi kama mwanzo
Kubwa kuliko yoote hayo wakulima turuhusiwe ku export our crops
 
Back
Top Bottom