EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,518
Mioyo ya Watanzania wepi? usitusemee, sema ataendelea kuishi kwenye moyo wako..Magufuli anaendelea kuishi kwenye mioyo ya Watanzania.
Sasa picha ya mwendazake inafanya nini hapo kwenye hilo tangazoKongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
Ulivyo na akili fupi unafikiri wewe ndiyo Tanzania.Mioyo ya Watanzania wepi? usitusemee, sema ataendelea kuishi kwenye moyo wako..
mnafuata andiko kufanya hivyo au utashi wenu?Wakatoliki tunaamini Kanisa la wasafiri/linalosafiri hapa duniani linaweza kuwaombea Kanisa la ushindi/lililoshinda huko Mbinguni; and vice versa.
Sasa hiyo picha ya dead stone ya nini hapo? StupidKongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
Fanya toba na maombi ya babaako. Tupo wengi kwa ajili ya Magufuli. Kwa babaako uko peke yako.Hawa watu wanayajua makusudio ya Mungu kwa mja wake Magufuli?
Ni heri wangemuombea dua akasamehewa madhambi yake
Hapana utakua umesoma vibaya.Mufti Magufuli? au nimesoma vibaya!
Maana lolote linawezekana kwa matagaHapana utakua umesoma vibaya.
Labda sikiliza
Hahahahah ngoja kesho tusikilize kongamanoMaana lolote linawezekana kwa mataga
Wafanyakazi wakumbukwe kwa nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja
kikokotoo kiangaliwe upya-kirudishwe kama kilivyo kuwa kabla mwendazake hajawa rais
Mifuko ya jamii irudi kama mwanzo
Kubwa kuliko yoote hayo wakulima turuhusiwe ku export our crops
Inashangaza sana kwakweli!wanajitoa ufahamu.the man has gone.Yaani bado wanaangaika na jiwe?