Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

Magufuli anaendelea kuishi kwenye mioyo ya Watanzania.
Haki nakuapia atafunikwa vibaya sana na Samia!!! Ni suala LA muda tuuu !!! Ngoja mama aongeze mishahara na kutoa ajira na kuachia watu walio fungwa bila sababu nakuapia mtamkimbia huyo mungu wenu
 
Amka mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom