KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,765
- 3,017
Hapo ndipo hata mimi nashangaa.Sio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.
Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela
Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba