Rais Samia: Kazi zipo nyingi Tanzania, ni vijana kuchakarika na kuona fursa

Sio aibu tu, Bali ni fedheha.
Yaani kwa fursa zilizopo Tanzania kijana unakosaje kazi.

Umeshindwa kulima,
Umeshindwa kufuga,
Umeshindwa hata kutengeneza funza uwauizie wafugaji kuku.
Umeshindwa kutengengeneza hydroponic folder uwauzie wafugaji.
Umeshindwa hata kutafuta pori ukapande majani ya ng'ombe(hayahitaji mbolea Wala kumwagilia) upige hela

Ukiziorodhesha zinaweza zikafika laki Saba
Hapo ndipo hata mimi nashangaa.
 
Hayo ameyasema leo huko Zanzibar.

Maoni yangu;

Hiyo ni kauli ya kejeli kwa vijana hasa wasio na ajira.
Naichukulia positive. Watanzanania tunahitaji change ya mindset kwa kuwa nyakati za Ku graduate na kusubiri placement ya Serikali hazipo.

Ni bora unapowapa watu kidonge kichungu wanywe lakini wapone ugonjwa.
 
Aliyeshiba hajui Kama Kuna watu wanalala njaa,

Wale makapuku wenzangu tulijitahidi kutafuta riziki kwa kujiajili lakini mambo yamekuwa magumu haswa

Mwisho wa siku tutazikimbia familia

Mpango wa serikali ni kuongeza jobless mtaani sidhan Kama wanatutakia mema
 
Ondoweni Vikwazo wajiajiri sasa.Au Kazi za kwenye ujasiliamali wa kwenye karatasi.
Ye mwenyewe anao mpango wa kuendelea kuajiriwa 2025 hizo fursa ajaziona
 
We vp?Ukishakuwa Spika tu basi unaingia kwenye Hilo kundi Moja Kwa Moja!Au umesahau Lowassa alivyojiuzulu lakini Mpaka Leo anavuta mpunga wa Serikali ?

atajulia wapi huyu anadhani ndugai anaenda likizo moja kila mwaka kama yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom