Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Ni wazi alibadilishiwa glass. Utaona anapokea glass ambayo imejaa mwisho wa clip ukilinganisha na ile aliyomnywesha Nyusi.
Ngoja nikufafanulie. Hapo kulia kwake kuna dada kavaa kaki ndo aligonga naye glasi kisha wote kwa pamoja wakanywa. Wote wa meza Kuu aligonga nao glasi.
Screenshot_20220923-194336.png
 
Mtoa mada umekurupuka hata kama ingekuwa hivyo ukupaswa kuongea huyo nje ya uraisi anaweza kuwa mama yako
 
Kuna baya gani hapo.tuache ujinga wakukuza mambo bila sababu.Mtu kua rais haimaanishi hana mambo binafsi kama binadamu.Na ilo tukio wala halihusishi jambo lolote baya zaidi ya kujenga mahusiano tu yakinchi.Hayo mengine mume wake ndiye anayepaswa kuongea naye uko chumbani sio wewe kwasababu sidhani kama kuna mtanzania anayehusika au mwenye mamlaka na mambo ya ndani ya rais zaidi ya yeye mwenyewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mahusiano ya nchi yajengwe kwa kushea glass?tuache kutetea mambo ya ajabu
 
Wiki hii hii kuna mtoto wa miaka 15 amepigwa vibaya na mume wake aliyekuwa akishirikiana na mume wake. Uso wake na mgongo hautamaniki. Na ana mtoto mmoja. Bila shaka Mila na desturi za kabila lake zinaruhusu watu wazima kuoa, kuzalisha mtoto wa miaka 13. Hiyo mnaona sawa ila mnatokwa na mapovu pale mwanamke mtu mzima anapomnywesha juice hadharani kiongozi mwenzake wa kiume.
Mnasikitisha sana. Btw. Wivu kwa mke tumeletewa na wageni. Kuna makabila ilikuwa halali kulala na mke wa rafiki yako wa rika moja. Leo mnadai wivu wa kijinga ni tamaduni yetu!

Amandla...
 
Acha makasiriko maisha mafupi haya enjoy
 
Back
Top Bottom