#COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

Chief Hanganya sio mbaya..So far so good..uwezo wa kutuletea maendeleo jumuishi hapa TZ anao..
 
Noma sana saizi hata ukienda hospital una uhakika wa vifaa tiba.

By mwaka ujao wa fedha yaani bajeti ijsyo nakwambia wonders hasa kwenye ajira.

Watu waliosoma sekta ya Afya na elimu waandae vyeti
Unaongea kinyume leo hii,wakati wa yule jamaa ulikua unapingana na haya yanayofanyka leo hii.
Aisee nyinyi jamaa hamna hata aibu.
Yule jamaa alipinga chanjo mkasema "oyee"
Mama kaleta chanjo mnasema "oyee"
Kwako wewe bora mkono uende kinywani.
Kweli wewe ni opportunity cost.

Mwendzake-Mababaru wabaya "oyee"

Mwanakwetu-Mababaru Wazuri"oyee"

Yote haya ndani ya CCM moja.
 
Mimi sijawahi kuwa upande wa huyo unayemsema
 
Anajitoa kwani anafanya bila kulipwa mshahara, tuwe na adabu kwa viongozi waliongia madarakani kwa wizi wa kura!
u tuwe na nidhamu kwa viongozi wetu. Wanajitoa na kufanya kazi bila kuchoka ili taifa liwe na maendeleo endelevu na leo Rais Samia anazindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19.
 
Being reactive badala ya kuwa proactive. Kwanini tunakimbilia kujenga ICUs na mitambo ya gas badala ya kuaddress IPC measures?

Au ndio yale ya mfadhiri anakupa mkopo na kukupangia uzitumie wapi?
 
Wizara ya Fedha na BoT wajitahidi kudhibiti mfumuko wa bei maana hii ni Neema kwa watu wa sekta ya ujenzi,manunuzi,zabuni nk..
Hili swala wanapaswa kufanyia kazi kwa haraka. Bei ya vifaa vya Ujenzi imepanda sana, mahali nilipo saivi tunanunua Saruji shilingi 17,000 kwa Cement za Kawaida wakati za Superset tunanunua shilingi 18,000 wakati Tiles shilingi 24,000 kwa boksi moja la 40x40
 
Kama hiyo ndio bei basi bado hazijapanda ,saruji iko vile vile shida ni nondo na Bati.
 
Being reactive badala ya kuwa proactive. Kwanini tunakimbilia kujenga ICUs na mitambo ya gas badala ya kuaddress IPC measures?

Au ndio yale ya mfadhiri anakupa mkopo na kukupangia uzitumie wapi?
IPS ni nini? Pengine kuna watu wanazidiwa na hawapati msaada unaostahili
 
Back
Top Bottom