#COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
2,401
2,000
Ndo ziko hivyo toka 2019
Sidhani, Mwaka jana nilinunua Cement 14,000 Saivi 17,000. Tiles nilinunua 18,000 mwaka huu bado imesimama kwenye 24,000. White Cement nilinunua shilingi 23,000 saivi 33,000.

Binafsi ningeomba Serikali ya Mama Samia ingeliona hili, bati Msouth 30G tunanunua shilingi 30,000 kutoka 25,000 ya Mwaka Jana
 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
17,090
2,000
Mama ameamua wajameni sasa ni mwendo mdundo, haya ndio maendeleo ya kwelii.

#UTAIFA MBELE
#TWENDE NA MAMA
Kama nchi tumehama kutoka kwenye "mpango wa maendeleo kwenda kwenye "kampeni ya maendeleo"

CCM nchi hii imewashinda waachieni watanzania wengine waongoze.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom