Wazee sehemu za kuweka barua zipo mbili pale kwenye machaguo ya shule na chini kwenye viambatanisho nikoweka barua kwenye viambatanisho inaniambia document hio ushaweka vipi nafanyaje je barua tofauti hapa au ileile nibadili jina la document
 
Yote tisa Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha? Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa cozi nyingine diploma or Degree. Na kama mnawasiwasi wataondoka wakipata kwingine wapeni mikataba wafanye hata Ten Years ya mwanzo.
 
Wazee sehemu za kuweka barua zipo mbili pale kwenye machaguo ya shule na chini kwenye viambatanisho nikoweka barua kwenye viambatanisho inaniambia document hio ushaweka vipi nafanyaje je barua tofauti hapa au ileile nibadili jina la document
Barua ipi na ipi?
 
Barua ni Moja tu pale utakapokuwa unachagua shule. Baada ya hapo itahamia kwenye viambatanisho vingine..
 
TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023

======

Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari.

Aidha, idadi ya watumishi watakoajiliwa katika kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati za Serikali.

Takwimu za Tume ya Utumishi wa Walimu zinaonesha Tanzania ina Walimu 87,992 wa Sekondari na 173,591 wa Shule za Msingi huku mahitaji halisi yakiwa ni Walimu 237,502 wanaotakiwa kufundisha kwa uwiano wa Mwalimu 1 awe na Wafunzi 45.

Waombaji ni wahitimu wa nafasi hizo kuanzia mwaka 2015 hadi 2022 ambao watakuwa na sifa stahiki na wasiozidi umri wa miaka 45 lakini wanaofanya kazi za kujitolewa wameitwa kuomba nafasi hizo bila kusema kama watapewa kipaumbele.

“Rais ametoa kibali cha kuajiri watumishi hao nasi tunaanza mchakato huo mara moja kuanzia leo, wanaoajiriwa ni kuanzia ngazi ya cheti hadi Shahada kulingana na kada anayoiomba mhusika,” amesema Kairuki.

Hata hivyo ameonya waombaji watakaodanganya sifa zao katika maombi ikiwemo wenye ulemavu ambao wametengewa nafasi na watakaogushi umri kwani Serikali inachukua watumishi wasiozidi miaka 45.

Amesema waombaji wote wataomba kupitia mtandao wa Tamisemi na waliokuwa wameomba siku nyingi wametakiwa kuhuisha taarifa huku akitoa katazo la waombaji ambao watatuma maombi yao kwa njia ya barua au posta kwamba hayatapokelewa.
View attachment 2585406
View attachment 2585408
View attachment 2585409
View attachment 2585410
View attachment 2585411
View attachment 2585412
View attachment 2585413
View attachment 2585414
View attachment 2585415
View attachment 2585416
TAMISEMI
Aisee, Sawa!
 
Kweli man badala ya hiyo hela kidogo unayopata uizungushe mambo mengine,unaitumia kusaidia ndugu
Kuwa na 500K kwa Mwezi ni bahati kubwa kwa maisha haya hata ukoo mzima uwe unakuangalia mzee imagine baadhi yetu hatuna hata hio shilling 1 kwa siku na familia inatuangalia tuchangie tuungeunge watu wale full stress kuwa na mshahara ni mshahara tu unaweza fanya kiti ila now unayegemewa na kitu huwezi fanya
 
CHa muhimu ni tufanye kazi
 
Kwanza hiyo kubwa, watu tunapata laki huku tunakojitolea na familia zinztutegemea.
 
Serikali isiangalie tu kwa walimu wanaojitolea katika mashule, wafahamu kuna walimu wengi wanapenda kujitolea lakini wanakosa hizo nafasi. Siku hizi hata kujitolea ni connection. Chance ziwe Sawa kwa wote
 
Back
Top Bottom