Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,513
- 14,374
Hivi unajua kila mtu huwa anafanya kazi fulani ama anatumikishwa ili apate zile basic needs.Hakuna Mtu ataenda kuomba hizo Ajira za laki nne
Yaani binadamu ama kiumbe hai Kita obey your order pale tu kinapohitaji ama kinapata needs zake kutoka kwako. Na ndio Mana ukitaka hata ujue mkeo anakuheshimu awe na pesa chafu kuliko wewe.
Hata viongozi wanasiasa wakiona mtu Ana pesa kuwazidi wanajua hawana heshima kwake