Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,272
Kwani ukiwa sukumagang, lazima uandike liport badala ya report?!Machagadema,eti hooh, Bashir na Dotto wamepiga mabilion ya shiling wakati Magufuri anaumwa, juzi hapa niliuliza mmoja wapo hapa,huyu Bashir mnayemsema amekwapua fedha BOT alikuwa kama Nani? akasema wewe subiria liport uone, sasahivi hivi liport imetoka chadema wanaanza kupindisha maneno, ujinga wa wanachadema wengi wamejenga ufahamu wao kupitia akina Kigogo na Mbowe chochote wanakacho post wanaona kiko sawa kabisa hawashughurishi akiri zao;Wafuasi wa Mbowe aliyewaita Nyumbu akudanganya