t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,375
- 14,780
Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake ulitegemea kuna siku itakuja kumfurahusha mnyonge?Hii ripoti imenipa unyonge sana kwa namna ninavyoipenda CCM!
Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake ulitegemea kuna siku itakuja kumfurahusha mnyonge?Hii ripoti imenipa unyonge sana kwa namna ninavyoipenda CCM!
Pia kuna mapungufu kwenye vile vyama ambavyo ni mbeleko ya Ccm.CAG Kicheere anawasilisha ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2020/2021 na kwa kweli kuna mapungufu mengi sana serikalini na katika mashirika ya Umma.
most likely, hata expertise ya kufanya huo ukaguzi I doubt kama anayoMakubaliana ni kwamba lazima wawe na hati safi ili wote wale keki ya nchi. Ripoti ya CAG ni ya mchongo. Mark my words
HR system ya msd hovyo hawana ubunifu wanaishi kimazoea, kapandishwa jamaa kutoka umeneja bodi mikopo kapewa ukurugenzi pale msd kafika kaa relax na anamajibu ya hovyo hovyo kwa wafanyakazi wafanyakazi wanavunjika moyo kuliko walivyokuwa, hana ubunifu anategemea kila kitu toka surbodinates wake ambayo ndio hawa hawa waliokuwa wabovu, kuna vikundi ndio vinapeana majukumu hao hao kila kukicha, wanadharau watu wao ambao ni professional kuwatumia, wanaishi kwa kuangaliana ukanda na umaslahiRais kaagiza MSD ifumuliwe yote
Why fungu la Rais halikaguliwi?kuna mwenye ufahamu please help, binafsi sielewiMidege ipo chini la Rais fungu namba 10.halikaguliwi.
Unataka ajikaguwe Wakati Toka ameanza Kutumia Ndege za Atcl Hajalipa ChochoteWhy fungu la Rais halikaguliwi?kuna mwenye ufahamu please help, binafsi sielewi
ZIPO KISIASA ZAIDI WATU KWENYE MAWIZARA NA MASHIRIKA WANAPIGA PESA KAMA VICHAA HAKUNA HATUA ZINAZOCHUKULIWA NCHI HII NI SHAMBA LA BIBIHizi ripoti huwa wazinafanyia kazi au tunapoteza muda
Acha Tu Anaupiga MwingiHangaya ndani ya miezi 3 akakopa tililioni 7
Alafu kuna mipumabvu inasema eti Magu alikopa sana
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Nimeamini kile kichambo kwa Ndugai kilikuwa na maana kubwa sanaAcha Tu Anaupiga Mwingi
Ujue Hii Ripoti Inamvua Sana Nguo Hangaya.Nimeamini kile kichambo kwa Ndugai kilikuwa na maana kubwa sana
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Pole mkuuHii ripoti imenipa unyonge sana kwa namna ninavyoipenda CCM!
Leo anasema Kwamba Wakati Wa Ummy Ticha Alidhibiti Upotevu wa Mapato kwenye Halmashauri Zote.Huyu mama ni mweupe kichwani kiasi kwamba ukimsikiliza unataman hata uende ukampe nakoz
Ok, nilijua una sababu za kisheria kumbe ni politics za vijiweni, thanks mkuuUnataka ajikaguwe Wakati Toka ameanza Kutumia Ndege za Atcl Hajalipa Chochote
.
Anajifanya anaumwa Mgongo mbona Wakati Akiwa Makamu Alikuwa anatumia Gari Kwenda Sehemu Zote.
Kwanini Ikulu haikaguliwi?Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa..
Endelea...
=========
CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP hati yenye shaka, SAU hati yenye shaka, Demokrasia makini hati yenye shaka, AFP tulishindwa kutoa maoni.
=> Nilitathmini utekelezaji wa mapendekezo wa miaka iliyopita, kati ya mapendekezo 31,311 ya miaka iliyopita, mapendekezo 9,975 sawa na asilimia 32 yametekelezwa kikamilifu. Mapendekezo 10,431 sawa na asilimia 33 utekelezaji wake unaendelea, mapendekezo 6284 sawa na asilimia 20 hayajaanzwa kutekelezwa, mependekezo 2890 sawa na asilimia 9 yamerudiwa na mapendekezo 1731 sawa na asilimia 6yamepitwa na wakati.
MAMBO YA MSISITIZO
MWENENDO WA DENI LA SERIKALI
CAG: Kufikia June 30, 2021 deni la Serikali lilikuwa ni trilioni 64.52 ikilinganishwa na trilioni 56.76 mwaka uliopita hivyo kuna ongezeka la shilingi trilioni 7.76 sawa na asilimia 13.7
=> Hata hivyo, kipimo cha deni la Serikali kinachotumia pato la taifa kinaonyesha deni hili bado ni himilivu.
MIRADI YA VIWANJA VYA NDEGE
CAG: Kuanzia mwaka 206/17 hadi 2020/21 Serikali ilitumia jumla ya trilioni 1.02 kujenga na kuboresha viwanja vya ndege 12 hapa nchini.
Ukaguzi wangu ulibaini
=> Kuna uingiliano wa mamlaka na majukumu ya uendelezaji wa viwanja vya ndege baina ya TAA na TANROADS unaosababisha mapungufu katika uwajibikaji na utekelezaji wa bajeti za miradi hiyo.
=> Kuna ongezeko la gharama ya Tshs bilioni 22.35 kutokana na kutolipa fidia kaya 1,125 katika kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere kwa zaidi ya miaka 25, kuna watu pale wanatakiwa kulipwa fidia lakini hawajalipwa kutokana na taratibu kutokamilika.
=>Tathmini inaonesha deni linaongezeka ktoka bilioni 7 hadi bilioni 29.
=> Kuna kuchelewa kwa malipo ya wakandarasi kulikosababisha riba ya Tshs bilioni 14.14 ambapo bilioni 11.39 ni za kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere na bilioni 2.75 ni kiwanja cha ndege cha Mwanza.
MWENENDO WA MABENKI YA SERIKALI
CAG: Kiwango cha mikopo chechefu kwa TIB kiliongezeka kutoka asilimia 41.5 mwaka 2019 hadi aslimia 51.5 mwaka 2020 kinyume na lengo la benki kuu ambayo ni asilimia 5 pekee.
=>TIB imeshindwa kulia madeni yake ya kodi ya shilingi bilioni 28.4 kwa miaka minne mfululizo kuanzia 2017
MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
=>Mifuko ya hifadhi ya jamii ina changamoto mbalimbali, nizitaje chache.
=>Kwa miaka mitatu mfululizo, mafao ya pensheni ya mfuko wa hifadhi ya jamii wa sekta ya umma yalizidi mapato yatokanayo na michango kwa mwaka husika.
=> Kwa mwaka 2020/21 mafao yalizidi kwa bilioni 767, 2019/20 yalizidi kwa bilioni 232 na mwaka 2018/2019 yalizidi kwa bilioni 307.
=> Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya jamii wa sekta binafsi ulitoa mikopo ya trilioni 1.17 kwa taasisi kumi za Serikali ambayo haijalipwa tangu mwaka 2007.
=>Hadi kufikia June 2021, mfuko wa hifadhi ya jamii sekta ya umma ulikuwa na madeni ya bilioni 323.98 kutoka kwa taasisi za Serikali na taasisi zingine.
MWENENDO WA MASHIRIKA YA UMMA
=>Mashirika ya umma 38 hayakuwa na bodi ya wakurugenzi, kati yake mashirika 26 yalifanya kazi bila bodi kwa zaidi ya miaka 12.
MIRADI YA KIMKAKATI
=> Kuchelewa kwa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere kwa asilimia 46.45. Hadi kufikia tarehe 31 Oktoba 2021 mradi ulipangwa kukamilika kwa asilimia 94.47, hata hivyo nilibaini mradi ulikamilika kwa asilimia 48.02 ukiwa umechelewa kwa asimilia 46.45.
=>Ucheleweshaji umesababishwa na kuchelewa kuwasilishwa kwa usanifu wa mwisho wa mradi, janga la mafuriko kwenye mto Rufiji pamoja na janga la Uviko.
=>Kukatika katika kwa umeme kwenye eneo la mradi kunasababisha kuongezeka kwa gaharama na muda wa kukamilisha mradi.
Wote ni dhaifu snLeo anasema Kwamba Wakati Wa Ummy Ticha Alidhibiti Upotevu wa Mapato kwenye Halmashauri Zote.
.
So anataka kusema aliyopo Sasa(Bashungwa) ameshindwa Kudhibiti Upotevu wa Mapato?.
.
Anaemsifia Alidhibiti Upotevu wa Mapato kwenye Halmashauri Zote aliteuliwa na Jpm Ila ambae ameshindwa Kudhibiti Upotevu wa Mapato kwenye Halmashauri Zote aliteuliwa na Yeye.
.
So Nani Dhaifu Kati Yake na Mtangulizi Wake?
Mkuu ulishawahi kuona Report ya Ukaguzi Wa Ofisi ya Rais Ikulu?Ok, nilijua una sababu za kisheria kumbe ni politics za vijiweni, thanks mkuu