Rais Samia: Tuna 99% ya Hati Safi na 1% tu ndio Hati Chafu, Ripoti za CAG zinatusaidia Sana Tunasonga mbele!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi

Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu kwahiyo Tunasonga mbele Ripoti hizi zinasaidia Sana

Source: Clouds Media
 
Sasa huyu mama naanza kumchukia! 😩😩😩😩
Ety ripoti za CAG zinatusaidia, tunasonga mbele 😂

Huyu mama ni kipofu anahitajika kufunguliwa macho
Tofauti ya Samia na JPM ni namna wezi na wafujaji wanavyochulkuliwa hatua. JPm alikuwa one man show ila Sasa hivi kuna vitu viwili.

Kuwajibishwa kitaasisi (Organizational accountability)
  • kufukuzwa kazi
  • kuimamishwa kazi
  • kurejesha hasara
  • kutenguliwa uteuzi .

Kuwajibishwa Kisheria legal accountability
-kichukuliwa hatua za kisheria/ kupelekwa mahakamani

Haya ndio mambo yanayosabisha watu kuhofia kufanya ubadhirifu. Hasa lile la kwanza kuwajibishwa kitaasisi. Nashauri Sasa hivi ziwekwe Sheria zitakazoongoza kwenye utiaji wa Saini mikataba inayogusa maslahi ya nchi.

......na labda chaguzi mbii zunazokuja zimesaidia kuongeza hati safi kuwazuia wakina Erythrocyte kupata hoja za majukwaani! 😂

Just my opinion..
 
Safi sana. Kanyaga twende mother
Ili mradi ananunua magoli ya Yanga na Simba hakuna noma

Screenshot_2024-03-28-16-37-50-1.png
 
Back
Top Bottom