Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri sahihi (Kuntu) ya Kukua kwa Uchumi?

Nimeamini akutukanae hakuchagulii Tusi na ndiyo maana hata French Revolution ya 1789 ilitokea baada ya Wafaransa kuwa katika Hali ngumu ya Kiuchumi kwa Kushindwa hata kununua Ngano ili Watengeneze Mikate na kwa Dharau kabisa Mke wa Mfalme Louis XVI aitwae Queen Marie Antoinette akawaambia wanunue Keki wale ambazo ndizo zilikuwa na Gharama zaidi ya Mikate.

Taarifa hii iliyonikera ya Kudanganywa kuwa Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa mujibu wake 'Bi Tozo' imeandikwa katika Gazeti lenu la 'Kipropaganda' la UHURU la leo.
 
Unaweza soma
JamiiForums1776870458.jpg
 
Itachukua muda kidigo nilisema itachukua miaka 2 ,pia, akihakikishe madeni ya ndani yanalipwa bila kuchekewa sana
 
Back
Top Bottom