Wakazi wa Kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro, wameendelea kuishi katika mazingira yenye hatari kubwa za kiafya, kiusalama na kimazingira kufuatia kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara maeneo yaliyopitiwa na miradi mikubwa ya serikali ikiwemo Bomba la Mafuta la TAZAMA na Grid ya Taifa ya Umeme...
Tunatoa huduma za kitaalamu za uwekaji wa Tarazo (Tiles) kwa ubora wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali:
🔹 Mashule (madarasa, korido, vyoo)
🔹 Parking (maeneo ya magari)
🔹 Underground floors (basements)
🔹 Nyumba binafsi (residential houses)
🔹 Ofisi, maduka na majengo ya biashara
💼 Kwa nini...
Katibu Mkuu wa Taasisi ya Twariqa, Sheikh Haruna Hussein, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kutumia kipindi cha baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufanya dua na kuliombea taifa, serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza hii leo...
"Miradi mikubwa ya nchi inayokuja kufunguliwa, kwanini msiweke hata asilimia moja ya sherehe, kwa mfano kama juzi tumekwenda kufungua Meli, pale wananchi wamekuja kwa tabasamu kubwa kuona Meli inafunguliwa, yani yalikuwepo maji ya kunywa tu...
...tulitegemea siku hiyo mradi mkubwa wa bilioni...
Wakuu
Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
Nikiwa Rais makampuni ya wahandisi wazawa watawezeshwa, na
kutatengwa fedha kwa ajili ya kuwawezesha wahandishi wazawa waweze
Kununua vifaa sababu wengi vifaa ni changamoto
Wapewe training ya kujenga miradi mikubwa kama treni za umeme, interchange, n.k
Watafundishwa wawe na malengo wakubwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026
"Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Cde. Faris Buruhani amewakumbusha vijana wa mkoa huo kuzikimbilia fursa kubwa na za muda mrefu zinazopatikana kwenye miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa kwenye maeneo yao badala ya kuhangaika na fursa za siku moja ambazo hutokea mara moja tu kila baada...
Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi kushirikiana kujenga mradi wowote mkubwa wa kisayansi? Dunia inaendelea na miradi mikubwa kama Apollo...
"Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Katika ziara yao, Wabunge Wanawake...
Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi.
TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi.
Hata kama mradi wa kujenga...
Jf habari za humu
Uzi wangu huu hauna mambo mengi, mimi n kijana wa kiume umri miaka 25 kwa sasa sina kazi yeyote na ninatamani sana kuhama mkoa niliopo.
Ombi langu kwenu najua humu kuna watu tofauti natamani kama ningeweza angalau kufanya vibarua kwenye mradi wowote wa ujenzi wa serikali...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta Binafsi na Umma (PPP), ili kukuza uchumi kwa kasi.
Prof. Kitila Mkumbo, amesema hayo mbele ya Kamati...
Kama mlivyoona juzi mwakilishi wetu, Kiukweli katika uongozi wa mama watu wanajenga na nchi. Miradi mingi inafanya kazi hivyo kwenye sekta ya uhandisi kiukweli tunanufaika sana.
Asante mama, nina imani ukipata mitano mingine Nchi itafika mbali sana.
Pia soma=> Kuelekea 2025 - Wahandisi na...
Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja.
Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha huduma zetu za afya ili kukabiliana na changamoto hii ya mwanzo wa maisha ya kila binadamu, kwa...
Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k
Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za...
Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu.
Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue
Jimbo la kawe ni jimbo la kimkakati katika nchi ambalo lina jamii ya daraja la kwanza. Jimbo kama lile linahitaji zaidi lami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.