Miradi mikubwa ambayo inatekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Naendelea na mada za Kuwafahamisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mwanamama jasiri na mtulivu Madam Samia.

Leo ni zamu ya Mkoa wa Katavi baada ya kuwafahamisha Mikoa ya Mbeya,Kigoma na Rukwa.

Mkoa wa Katavi Maarufu Kama Kwa Pinda mtoto wa mkulima Nako mambo ni moto,Samia anazidi kugawa Upendo ilimradi Kila Mkoa wa Tanzania hii atawafikia.

Hii hapa miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa Mkoani Katavi.

-Ukarabati na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mpanda(Jengo jipya la Abiria).
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Karema Port
-Ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni-Majimoto-Inyonga(Katavi-Rukwa Road)
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Mishamo-Uvinza-Kasulu(Katavi-Kigoma Road), sehemu ya kwanza Vikonge-Luhafi-Mishamo.
-Ujenzi wa Daraja la Mto Ugalla
-Ujenzi wa Daraja la Mirumba
-Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme mkubwa ya kv 400 Tabora-Mpanda(Kuunganisha Katavi na Gridi ya Taifa)
-Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Bwawa la Milala Mpanda Mjini.
-Programu za Kilimo Cha Mazao ya biashara ambayo hayakuwepo awali kama Kahawa,Korosho na Pamba Wilaya ya Tanganyika.
-Usanifu wa Barabara ya Mpanda-Ugalla-Ulyankuku-Kahama
-Usanifu wa reli ya SGR ya Kaliua-Mpanda-Karema Port
-Ujenzi wa awamu ya Pili wa Hospital ya Mkoa na ununuzi wa vifaa tiba eg CT Scan

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ya Kitaifa.Pia Kuna miradi ambayo imekamilika,Baadhi yake ni
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Tabora
-Majengo ya Utawala ya Mkoa na Wilaya
-Hospitali za Wilaya
-Baadhi ya Mpanda-Sitalike
-Bandari ya Karema
-Mpanda Airport

Kwa miradi tajwa hapo Juu itakapokamilika ,itafungua fursa za Mkoa wa Katavi ikizingatiwa kwamba ni Mkoa Mpya wa Mkoa wa kimkakati ulioko mpakani mwa Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika.

Kazi iendelee

View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1744453797068288293?t=tXjAQfXKb_U3T4GsPcSzLA&s=19
 
1. Hapo kwenye Barabara ya Mpanda -Katavi edit hakuna hicho kitu. Labda useme Mpanda - Tabora.
2. Daraja la Mirumba siyo Mradi Mkuu ule ni Upigaji, maana hiyo barabara imekamilika haina miaka 4 leo unasemaje ule nao ni mradi mpya??
3. Rekebisha hapo kwenye Mpanda- Mishamo......Kigoma. Barabara Ishafika Vikonge 35Km far tokea kwa JPM leo unairudisha nyuma ianzie Mpanda tena?
 
Unapajua Mirumba lakini? Kwamba Barabara imekamilika miezi 4 au Miaka 4 Iliyopita?

Jina la Barabara ni Mpanda-Mishamo-Vikonge-Uvinza.

Ujenzi unaendelea kutoka Vikonge kwenda Mpanda,hakuna ch kurekebisha.
 
Naendelea na mada za Kuwafahamisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mwanamama jasiri na mtulivu Madam Samia.

Leo ni zamu ya Mkoa wa Katavi baada ya kuwafahamisha Mikoa ya Mbeya,Kigoma na Rukwa.

Mkoa wa Katavi Maarufu Kama Kwa Pinda mtoto wa mkulima Nako mambo ni moto,Samia anazidi kugawa Upendo ilimradi Kila Mkoa wa Tanzania hii atawafikia.

Hii hapa miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa Mkoani Katavi.

-Ukarabati na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mpanda
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Karema Port
-Ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni-Majimoto-Inyonga(Katavi-Rukwa Road)
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Mishamo-Uvinza-Kasulu(Katavi-Kigoma Road)
-Ujenzi wa Daraja la Mto Ugalla
-Ujenzi wa Daraja la Mirumba
-Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme mkubwa ya kv 400 Tabora-Mpanda(Kuunganisha Katavi na Gridi ya Taifa)
-Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Bwawa la Milala Mpanda Mjini.
-Programu za Kilimo Cha Mazao ya biashara ambayo hayakuwepo awali kama Kahawa,Korosho na Pamba Wilaya ya Tanganyika.
-Usanifu wa Barabara ya Mpanda-Ugalla-Ulyankuku-Kahama
-Usanifu wa reli ya SGR ya Kaliua-Mpanda-Karema Port

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ya Kitaifa.Pia Kuna miradi ambayo imekamilika,Baadhi yake ni
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Tabora
-Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
-Majengo ya Utawala ya Mkoa na Wilaya
-Hospitali za Wilaya
-Baadhi ya Mpanda-Sitalike
-Bandari ya Karema

Kwa miradi tajwa hapo Juu itakapokamilika ,itafungua fursa za Mkoa wa Katavi ikizingatiwa kwamba ni Mkoa Mpya wa Mkoa wa kimkakati ulioko mpakani mwa Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika.

Kazi iendelee

View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1744453797068288293?t=tXjAQfXKb_U3T4GsPcSzLA&s=19

View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1755531466098770168?t=U_8kf9Sc26Ye_0uS4247Wg&s=19
 
Naendelea na mada za Kuwafahamisha Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mwanamama jasiri na mtulivu Madam Samia.

Leo ni zamu ya Mkoa wa Katavi baada ya kuwafahamisha Mikoa ya Mbeya,Kigoma na Rukwa.

Mkoa wa Katavi Maarufu Kama Kwa Pinda mtoto wa mkulima Nako mambo ni moto,Samia anazidi kugawa Upendo ilimradi Kila Mkoa wa Tanzania hii atawafikia.

Hii hapa miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa Mkoani Katavi.

-Ukarabati na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mpanda(Jengo jipya la Abiria).
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Karema Port
-Ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni-Majimoto-Inyonga(Katavi-Rukwa Road)
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Mishamo-Uvinza-Kasulu(Katavi-Kigoma Road), sehemu ya kwanza Vikonge-Luhafi-Mishamo.
-Ujenzi wa Daraja la Mto Ugalla
-Ujenzi wa Daraja la Mirumba
-Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme mkubwa ya kv 400 Tabora-Mpanda(Kuunganisha Katavi na Gridi ya Taifa)
-Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Bwawa la Milala Mpanda Mjini.
-Programu za Kilimo Cha Mazao ya biashara ambayo hayakuwepo awali kama Kahawa,Korosho na Pamba Wilaya ya Tanganyika.
-Usanifu wa Barabara ya Mpanda-Ugalla-Ulyankuku-Kahama
-Usanifu wa reli ya SGR ya Kaliua-Mpanda-Karema Port
-Ujenzi wa awamu ya Pili wa Hospital ya Mkoa na ununuzi wa vifaa tiba eg CT Scan

Hiyo ni Baadhi tuu ya Miradi mikubwa ya Kitaifa.Pia Kuna miradi ambayo imekamilika,Baadhi yake ni
-Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Tabora
-Majengo ya Utawala ya Mkoa na Wilaya
-Hospitali za Wilaya
-Baadhi ya Mpanda-Sitalike
-Bandari ya Karema
-Mpanda Airport

Kwa miradi tajwa hapo Juu itakapokamilika ,itafungua fursa za Mkoa wa Katavi ikizingatiwa kwamba ni Mkoa Mpya wa Mkoa wa kimkakati ulioko mpakani mwa Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika.

Kazi iendelee

View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1744453797068288293?t=tXjAQfXKb_U3T4GsPcSzLA&s=19

Tuwekee miradi ya serikali inayotekelezwa Iringa na Kilimanjaro
 
Ntakuwa nachafua Uzi wa Katavii.

Anyway Mkoani Iringa Kuna
-Iringa Bypass
-Upanuzi wa njia 4 eneo la Mlima Kitonga
-Ujenzi wa Barabara kutoka Iringa-Kilolo
-Mafinga-Mgololo
-Usanifu wa Barabara Iringa-Ruaha NP
-Ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Iringa..

Kwa upande wa Kilimanjaro mambo ni 🔥🔥,Mama anatandika lami Kila sehemu kama inavyoonekana hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C4Bkn1wNSaN/?igsh=MWdhb2ZuN3N0bGM5Mw==
 
Back
Top Bottom