Miradi Mikubwa inayotekelezwa na Serikali Mkoa wa Songwe

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,736
Bado nipo Nyanda za Juu Kusini.Nimemaliza Mbeya,Rukwa na Katavi na Leo Niko Songwe.

Leo naendelea na kuwaletea miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Dr.Samia Mkoa wa Songwe.

Songwe ndio Mkoa kitinda Mimba Kwa kuanzishwa Kwa maana ni Mkoa wa 26,hivyo ni Mkoa mchanga zaidi Tanzania.

Huku Nako Rais anasambaza Upendo kama ilivyo maeneo mengine ya Nchi.Baadhi ya miradi mikubwa ambayo Inatekelezwa Mkoani humo ni kama ifuatavyo;

-Ujenzi wa barabara kuu ya Tanzam Kwa njia 4 kuanzia Igawa(Mbeya) Hadi Tunduma(Songwe) km 218
-Ujenzi wa barabara ya Ruanda/Iyula (Tanzam Jnct)-Nyimbili-Itumba-Isongole(Malawi Border) km 79.6
-Ujenzi wa barabara ya Mahenje-Vwawa km 32
-Ujenzi wa barabara ya Mlowo-Kamsamba km 130 &Utambalila-Chitete Bypass
-Makongolosi-Chang'ombe-Mbalizi
-Isongole-Isoko km 52
-Ujenzi wa Tunduma Dry Port(Mpemba)
-Miradi wa Uchimbaji Madini Adimu(Ngualla Rare Earth Project)
-Mradi Wa Uchimbaji wa Dhahabu Wilaya ya Songwe
-Ujenzi wa Maegesho ya Kisasa ya Malori Chimbuya.
-Ujenzi wa Vwawa-Mpemba-Nkangamo Bypass
-Ujenzi wa Chuo Cha Mifugo Mbozi

View: https://www.instagram.com/p/C0DwoMctaY-/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

-Iboya Onestop Inspection Centre
-Ujenzi wa Makao Makuu ya TRA&TanRoads
-Ujenzi wa Mradi mkubwa wa Umeme wa Grid ya Taifa kuunganisha na Zambia Mbeya-Tunduma-Sumbawanga kv 400
-Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe
-Tawi la Chuo Cha Ufundi DIT Myunga Campus
-Ujenzi wa Hospital Mpya ya Wilaya ya Ileje

Miradi aliyoikamilisha Rais Samia ni
-Ujenzi wa Hospital ya Mji Tunduma
-Ujenzi wa barabara ya Mpemba/Tunduma-Isongole km 50
-Ujenzi wa Makao Makuu ya Wilaya ya Momba,Songwe na Mbozi DC
-Ujenzi wa Makao Makuu ya Mkoa Bwawa

Miradi ambayo Iko kwenye pipeline ni
-Upembuzi yakinifu wa Vwawa na Tunduma Bypass
-Upembuzi yakinifu wa mradi mkubwa wa Maji kutoka Mto Momba Hadi Tunduma,Bwawa na Mlowo (over 320bln)
-Songwe Airport
-Songwe River Hydropower Project.

My Take
Miradi hiyo mikubwa itakapokamilika itainua Uchumi wa Mkoa wa Songwe na kuleta Ustawi Kwa Wananchi wake na Taifa Kwa ujimla.

Hongera sana Rais Samia Kwa kazi hii nzuri.Kwa miradi hii Songwe Mpya inazaliwa chini ya Samia.

View: https://www.instagram.com/reel/C5D4mGnoOnF/?igsh=M2ZleXNuODQ0djU4
 
Bado nipo Nyanda za Juu Kusini.

Leo naendelea na kuwaletea miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Dr.Samia Mkoa wa Songwe.

Songwe ndio Mkoa kitinda Mimba Kwa kuanzishwa Kwa maana ni Mkoa wa 26,hivyo ni Mkoa mchanga zaidi Tanzania.

Huku Nako Rais anasambaza Upendo kama ilivyo maeneo mengine ya Nchi.Baadhi ya miradi mikubwa ambayo Inatekelezwa Mkoani humo ni kama ifuatavyo;

-Ujenzi wa barabara kuu ya Tanzam Kwa njia 4 kuanzia Igawa(Mbeya) Hadi Tunduma(Songwe) km 218
-Ujenzi wa barabara ya Ruanda/Iyula (Tanzam Jnct)-Nyimbili-Itumba-Isongole(Malawi Border) km 79.6
-Ujenzi wa barabara ya Mahenje km 32
-Ujenzi wa barabara ya Mlowo-Kamsamba km 130 &Utambalila-Chitete Bypass
-Makongolosi-Chang'ombe-Mbalizi
-Isongole-Isoko km 52
-Ujenzi wa Tunduma Dry Port(Mpemba)
-Miradi wa Uchimbaji Madini Adimu(Ngualla Rare Earth Project)
-Mradi Wa Uchimbaji wa Dhahabu Songwe

View: https://www.instagram.com/p/C0DwoMctaY-/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

-Iboya Onestop Inspection Centre
-Ujenzi wa Makao Makuu ya TRA&TanRoads
-Ujenzi wa Mradi mkubwa wa Umeme wa Grid ya Taifa kuunganisha na Zambia Mbeya-Tunduma-Sumbawanga kv 400
-Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe
-Tawi la Chuo Cha Ufundi DIT Myunga Campus
-Ujenzi wa Hospital Mpya ya Wilaya ya Ileje

Miradi aliyoikamilisha Rais Samia ni
-Ujenzi wa Hospital ya Mji Tunduma
-Ujenzi wa barabara ya Mpemba/Tunduma-Isongole km 50
-Ujenzi wa Makao Makuu ya Wilaya ya Momba,Songwe na Mbozi DC
-Ujenzi wa Makao Makuu ya Mkoa Bwawa

Miradi ambayo Iko kwenye pipeline ni
-Upembuzi yakinifu wa Vwawa na Tunduma Bypass
-Upembuzi yakinifu wa mradi mkubwa wa Maji kutoka Mto Momba Hadi Tunduma,Bwawa na Mlowo (over 320bln)
-Songwe Airport
-Songwe River Hydropower Project.

My Take
Miradi hiyo mikubwa itakapokamilika itainua Uchumi wa Mkoa wa Songwe na kuleta Ustawi Kwa Wananchi wake na Taifa Kwa ujimla.

Hongera sana Rais Samia Kwa kazi hii nzuri.

Asante kwa update hii. Yule mshenzi aliyetwaliwa alisahau sana mikoa ya Mbeya na Songwe. Heko Rais Samia
 
Back
Top Bottom