Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Ka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Makamu wa Rais wa Dangote Group anayeshughulikia Mafuta na Gesi Bw. Edwin Devakumar pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Gilead Teri, , Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.View attachment 3589499
Kazi na utu, tunasonga mbele
 
Ni jammbo jema
Kama Uganda italeta mafuta ghafi Hadi Tanga basi wameuhusu Dangote ajenge kinu hapo
Kuna faida ya ajira na kupungua kwa bei ya mafuta

Hapo nimempongeza Mheshimiwa Raisi

Amruhusu tajiri kujenga kinu Cha kuchakata mafuta

Ni fulsa nzuri kuinua uchumi wa Nchi
Siyo amruhusu, sema amuombe.
 
well done Dr Samia Suluhu Hassan,
Karibu sana Alhaji Aliko Dangote Tanzania 🐒
Dangote anaipenda sana Tanzania,mimi binafsi nimekutana nae ana kwa ana Mtwara na tuliongea saa 2 na namfahamu vizuri sana.Mimi pia nimeishi Nigeria kwa miaka 5 na nimezaa mtoto wa kike ambae kaolewa hivi sasa.Dangote ni miongoni mwa wawekezaji tarajiwa kununua shea yanga
 
Dangote ana akili anawachora tu. Time will tell
Gentleman,
dhana na fikra potofu kama hizo hazina athari zozote Tanzania ikiendelea kupokea kila aina ya wawekezaji kwa maslahi mapana ya wananchi wake.

Dr Samia Suluhu Hassan anafanya kazi nzuri sana katika kujenga uchumi imara wa Taifa letu 🐒
 
Dangote anaipenda sana Tanzania,mimi binafsi nimekutana nae ana kwa ana Mtwara na tuliongea saa 2 na namfahamu vizuri sana.Mimi pia nimeishi Nigeria kwa miaka 5 na nimezaa mtoto wa kike ambae kaolewa hivi sasa.Dangote ni miongoni mwa wawekezaji tarajiwa kununua shea yanga
Hakuna cha kuipenda Tanzania wala nini, ni mfanyabiashara bepari tu kama wafanyabiashara wengine wanaosaka fursa za rasilimali na masoko.
 
16 May 2026
Body language ya lugha mwili ya vigogo wa Dangote Group inaonesha kuwa upande wa vigogo wa Samia hawaelewi kuhusu uwekezaji, hawakujitayarisha, hawakuzungumza tangu rais William Ruto adokeze nia ya Refinery iwe Tanga, kifupi Dangote Group wamejikuta upande wao wamejiaandaa vyema ila upande huu wa serikali haramu ya CCM hawajawahi kukaaa wenyewe kwa wenyewe kujadili fursa hii ya uwekezaji

May 16, 2026
Samia, Dangote hold talks in Dar es Salaam amid refinery debate
Saturday, 16 May 2026
1778927447582.jpeg

1778931664032.jpeg
 
Kwa nini kusiwepo na kitengo cha kuua na kuficha kisha kikawepo kinacho dili na uchumi.
Maana kwa sasa silaha moja wapo kubwa hapa duniani ni taarifa za kiuchumi.
Hii nchi inaongozwa na wafanyabiashara na wanasiasa!, ila wenye nguvu ni wafanyabiashara!, hivyo wao ndio wananguvu hawajali kuhusu hilo swala wao hata leo kikinuka wanahama chap
 
Viongozi wa EAC isipokuwa huyu Samia wote wanauelewa mpana wa mambo, si bure Tanzania inaimba wimbo tuna potential / fursa lakini haziwi vitendo zikakamilika chini ya serikali haramu ya utawala wa chama kongwe dola kilichoishiwa pumzi ya utekelezaji zaidi ya kusema maneno yaleyale kuwa Tanzania ki jiografia tupo na neema lakini neema hiyo haibadiliki kuwa matunda halisi ya kuvunwa ili watanzania kufaidika

Toka maktaba
14 May 2026
Kigali, Rwanda

Africans can't just be people waiting to be ripped off, we must be able to say no - President Kagame

View: https://m.youtube.com/watch?v=iDB-IjnFCOU
In this exclusive sit-down at the Africa CEO Forum, President Paul Kagame of Rwanda shares his bold vision for Africa's economic transformation, investment, leadership, and the continent's place on the global stage. Don't miss this candid and insightful conversation with one of Africa's most influential leaders.🌍 Africa CEO Forum | Kigali, Rwanda
 
HAKUNA PRESS CONFERENCE LIVE MUBASHARA KUTOA TAARIFA KWA UMMA (KISWAHIKILI) NA ULIMWENGU (KI-ENGLISH) KUTOKA IKULU ZAIDI YA MAPICHA PICHA ?

1778928461775.jpeg

1778928563998.jpeg
 
Viongozi wa EAC isipokuwa huyu Samia wote wanauelewa mpana wa mambo, si bure Tanzania inaimba wimbo tuna potential / fursa lakini haziwi vitendo zikakamilika chini ya serikali haramu ya utawala wa chama kongwe dola kilichoishiwa pumzi ya utekelezaji zaidi ya kusema maneno yaleyale kuwa Tanzania ki jiografia tupo na neema lakini neema hiyo haibadiliki kuwa matunda halisi ya kuvunwa ili watanzania kufaidika

Toka maktaba
14 May 2026
Kigali, Rwanda

Africans can't just be people waiting to be ripped off, we must be able to say no - President Kagame

View: https://m.youtube.com/watch?v=iDB-IjnFCOU

Pole sana hater. Mama huyoooo anasonga, mamamamamaaaeee!
 
Kiwanda kitajengwa Tanga? Narrative za Ruto na hatimaye Dangote was just a ploy?..Kama kuna namna ya kumvuta kwa kile tumpe tu tunachoweza ku afford.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom