Dunia yote ikiwemo mabenki, watu kutaka kununua hisa n.k kuhusu mradi huu Tanga hawajatendewa haki ziara hii muhimu ya Alhaj Aliko Dangote na timu ya vigogo wa Dangote Group inaishia kupewa taarifa katika X twitter, mapicha instagrama, FB
Hivi nchi hii ya Tanzania haina watu wa communication, waandishi hawakualikwa, mambo yapo kifichokificho kwanini?
Tatizo la waTanzania ku communicate / kuongea mubashara na ulimwengu litaisha lini ?
TOKA MAKTABA :
2021 May 24
KIWANDA CHA DANGOTE CHA MBOLEA MTWARA VIPI HADI LEO ?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote ambaye amewekeza katika kiwanda kikubwa cha uzalishaji wa saruji Mkoani Mtwara.
Baada ya mazungumzo hayo, Alhaji Dangote amempongeza Rais Samia kwa kuchukua hatua mbalimbali za kuboresha mazingira ya biashara nchini Tanzania na amemuahidi kuwa kampuni yake ambayo imewekeza hapa nchini kiasi cha Dola za Marekani Milioni 770 (sawa na shilingi Trilioni 1.761) itaendelea kuwekeza katika maeneo mengine ikiwemo mpango wake wa kujenga kiwanda cha kuzalisha mbolea.
2024
Gode Town, Ethiopia
DANGOTE PARTNERS ETHIOPIAN GOVT TO SETUP $2.5BN UREA FERTILISER PLANT
View: https://m.youtube.com/watch?v=32gtZe6OU1A
Tajiri zaidi barani Afrika anagonga vichwa vya habari tena. Miaka miwili baada ya kufungua kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Lagos, mjasiriamali wa Nigeria Aliko Dangote, anayeongoza Kundi la Dangote, ametangaza mradi mwingine mkubwa nchini Ethiopia. Mnamo Agosti 28,2024 alifichua mipango ya kujenga kiwanda cha mbolea ya nitrojeni huko Gode, eneo la vijijini kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Aliko Dangote and Ethiopia have signed a $2.5 billion deal to build a large-scale fertilizer complex in Gode Town, Somali Region in eastern

Tajiri Aliko Dangote ajenga moja ya kiwanda kikubwa zaidi cha mbolea barani Afrika huko Ethiopia