Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

Hii ni habari njema sana,
Naaamini Mama ameenda akiwa na hoja za nguvu sana;
Tunatamani kile kiwanda cha kuchakata mafuta kijengwe kwetu. Hata akitaka tukihamishie bandari ya bagamoyo yenye kina kirefu sawa tu...tutampa ardhi bure kabisa, umeme tunao wa kutosha, barabara ya viwango na hata akitaka mwendokasi chap kwa haraka tunapeleka....Lakini pia sisi ndio tunapakana na nchi nyingi kuliko wote hivyo - promotion & accessibility tunaweza kuiongelea vizuri...
Kwa nini apewe ardhi bure??
 
Ni jammbo jema
Kama Uganda italeta mafuta ghafi Hadi Tanga basi wameuhusu Dangote ajenge kinu hapo
Kuna faida ya ajira na kupungua kwa bei ya mafuta

Hapo nimempongeza Mheshimiwa Raisi

Amruhusu tajiri kujenga kinu Cha kuchakata mafuta

Ni fulsa nzuri kuinua uchumi wa Nchi
 
Imebidi sasa waanze kulia kulia...
Hii sasa Dangote anajipigia deal zake kilaini kabisa...

Tukikosa mfumo mzuri wa Intelligence nchi inakuwa ya ho
View attachment 3589477View attachment 3589478
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Kwa wasioelewa dangote tayari ana kiwanda Tanzania,hivyo ni rahisi sana kujenga kiwanda kingine,kuliko kujenga kwenye nchi ambayo hana kabisa kiwanda
 
Daaah omba omba Hana chake. Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote wa kawombe tunasema chura aka kizimkazi kwenye icho kikao kaingia bila hoja yyte nzito baada yake kaomba kupiga picha n Aliko Dangote.
Na jua anacho weza kufanya vzr Sana ni kutengua n kuteua tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa nini kusiwepo na kitengo cha kuua na kuficha kisha kikawepo kinacho dili na uchumi.
Maana kwa sasa silaha moja wapo kubwa hapa duniani ni taarifa za kiuchumi.
Silaha kubwa duniani kwa sasa ni uongozi bora unaozingatia merits na uzalendo. Taarifa za uchumi kila mtu anazo, wala hakuna kitu kilichojificha tena zama hizi za mapinduzi ya IT, taarifa na AI.
 
Daaah omba omba Hana chake. Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote wa kawombe tunasema chura aka kizimkazi kwenye icho kikao kaingia bila hoja yyte nzito baada yake kaomba kupiga picha n Aliko Dangote.
Na jua anacho weza kufanya vzr Sana ni kutengua n kuteua tu.
Kazi ni kipimo cha utu
Hii ndio akili yako,huna facts kabisa.Kitakacho amua dangote kujenga kiwanda mahali ni facts sio hizi porojo mnazopiga hapa.Kumbuka tayari dangote ana kiwanda kikubwa hapa Tanzania,na kama hujui dangote ni miongoni mwa wawekezaji 3 watakaonunua hisa za Yanga hivyo kujenga refinery hapa ni rahisi mno
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
well done Dr Samia Suluhu Hassan,
Karibu sana Alhaji Aliko Dangote Tanzania 🐒
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Makamu wa Rais wa Dangote Group anayeshughulikia Mafuta na Gesi Bw. Edwin Devakumar pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Gilead Teri, , Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
IMG-20260516-WA0108.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
View attachment 3589489
View attachment 3589491View attachment 3589492
View attachment 3589497
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
View attachment 3589494
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Makamu wa Rais wa Dangote Group anayeshughulikia Mafuta na Gesi Bw. Edwin Devakumar pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Gilead Teri, , Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
View attachment 3589495
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026​
Screenshot_20260516-003803~2.png
 
Hapo lazima mkali (Dangote) kawaambia anachohitaji ili aweke hela!
Wenye hela ni watu werevu sana. Anakupa mpango mzuri wa kukutoa udenda, anakupa na masharti. 😁
Kashapewa homework bibi yetu hapo. 😁
 
Kazi za kupeana kwa vimemo na kujuana sijui mjomba, shangazi, mkwe n.k unakuta vilaza wamejazana ofisini.
Kweli watakuwa vilaza wa aina yake.
Mbona nyenzo za kupata maarifa ya kitengo chaki zipo nyingi na rahisi.
Kwanini katika hao ndugu wasiwaweke hapo maprofesa Wawili watatu kupunguza ukilaza wao?

Hata hivyo najaribu kufikiria prof mkenda na naibu wake , sijui hapo ofisini panaenda aje!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom