Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,358
- 6,077
YESU KRISTO alisema, "Shetani ndiye baba ya uongo"Ushetani wake ni upi? na unatumia kipimo gani kupima ushetani wa kanisa kupitia mafundisho yake?
Alafu wewe ni muumini wa dhehebu gani ??
Sasa kama hujui basi fahamu kwamba kanisa katoliki linafundisha mambo ya "uongo". Kanisa hili lipo chini ya kivuli cha kuhubiri injili lakini injili inayohubiriwa ni ile ya uongo yenye lengo la kuwapotosha wanadamu na kuwafanya watumwa wa shetani.
Hili ni kanisa linaloongozwa na Ibilisi mwenyewe.
Ndugu, itafute KWELI na hiyo KWELI itakuweka huru. Soma Ufunuo 18:4-5