VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,164
Nina mashaka na kauli na matendo hana dhamira kutoka.Rejea mfano kauli miradi hii ...std gauge, Rufiji dame.... nikiondoka...miaka yote hao .... kwanini hawakufanya.....anazuga huyo nkurunzinza huyo akileta za kuleta kubadilisha katiba ili ajimilikishe hii nchi bora atuue wote abaki yeye na mamaake
Std gauge Dar Moro term ya 1; Ya pili Moro Dma; ya tatu Ataomba akamilishe Dma to Mza,Isaka....
Sent using Jamii Forums mobile app