Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

anazuga huyo nkurunzinza huyo akileta za kuleta kubadilisha katiba ili ajimilikishe hii nchi bora atuue wote abaki yeye na mamaake
Nina mashaka na kauli na matendo hana dhamira kutoka.Rejea mfano kauli miradi hii ...std gauge, Rufiji dame.... nikiondoka...miaka yote hao .... kwanini hawakufanya.....
Std gauge Dar Moro term ya 1; Ya pili Moro Dma; ya tatu Ataomba akamilishe Dma to Mza,Isaka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beira Boy,
Basi tushinikize Katiba ya nchi yetu na ya CCM vibadilishwe ili aendelee kuisaidia nchi hii. Hasa ukizingatia kuwa yeye, Rais wetu ni msikivu na zaidi ya yote ANAIPENDA SANA TANZANIA NA WATU WAKE.
 
Bado najiuliza endapo akipewa muda zaidi baada ya kumaliza muda wake anaweza kuendelea na kasi aliyonayo kwa Sasa?
 
Beira Boy,

Kwa hiyo katiba ya CCM, katiba ya nchi ikibadilika atendelea kubaki. Ndio kusema bado ana nafasi ya kubaki ikiwa katiba ya CCM, ya nchi zitabadilishwa kumpa nafasi kuendelea.

Sababu hasa inayonifanya niandike hivi ni kuwa ukiacha Nyerere sidhani kama kuna raisi mwingine ambaye aliwahi kupata promo za wanasiasa kuwa anafanya mambo mazuri na ikiwezekana aebdelee.

Ndo kusema wanasiasa hawa hawa wanaompigia debe aendelee wanaweza kuwa sehemu ya mpango wa kuhakikisha kuwa katiba zitabadilishwa ili apata nafasi nyingine.

Kama naota vile, haya hayawezi kutokea Tanzania. Katiba haiwezi kubadilishwa kumpa nafasi JPM ya kuendelea ila ilbidi nitie neno tu kuangalia upande wa shilingi ukoje 😂
 
Eti mimeshamchoka mimi. Kwani wewe ndio nani? Tutolee ujinga wako hapa.
"Aondoke hata kesho nimeshamchoka mimi maana ni muongo kweli anachosema sicho anachomanisha"

Urais mgumu kwani nani alimpeleka kwa nguvu kuchukua form?

Urais ungekuwa mgumu si angeacha kubana wapinzani wake wakina Lissu ili na wao wapate nafasi ya kuongoza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara "sitaongeza hata dk moja"
Mara "nikiondoka nani atafanya haya"
Mara "Wapo wenye sifa ya kuongoza"
Unafiki mbaya sana.
Wee koma kabisa.

Mara inaihusika vipi na kichaa? hajachangia chochote cha manufaa mkoani hapa! na hatutaki masimango, asije sema oooh! nimejenga Uwanja wa ndege, mara ni mejenga Natinal park!
 
Golori za mabeberu wenu wa UFIPA zimekastretiwa naona mnawashwa washwa tu. Hoja hamna mmebaki kudandia MATUKIO. Kama huwa mnasikia la Mkuu Basi chagueni Mwambe
Kuna msemo maarufu ".... wenzenu wanywa, wala, wanya mwala"
 
Beira Boy,
Aliyoyasema ni kweli, lakini usishangae kesho tukatunga kanuni nyengine na katiba tukabadilisha. Kwani Museveni na Kagame wanaongoza kinyume na katiba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom