Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

Kwa kuangalia lugha za mwili kwa Mgombea Uraisi wa CCM,Tabia zake,wapambe wake na watu wananonufaika naye.
Ni kwamba Kama akichaguliwa na akarudi madarakani juweni kuwa hatoki Tena baada ya miaka mitano ijayo.Anakwenda kubadili katiba na Kuondoa ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani.

Huo ndio ukweli mchungu.
Wanufaika wake wameisha Anza kuandaliwa kutaka aendeleee,mfano Juma Nkamia,Ali mwinyi na wabunge wengi tu waliopita.

Umpende usimpende huyo utakua nae mpaka Mungu atakapo mpenda yeye.

Tusubiri muda utathibitisha niyasemYo.

Someni alama za nyakati mtagundua.

Hebu fikiria mateso yote haya halafu unakuabnae kwa muda usiokua na kikomo,kila kitu anaamua yeye na hamna wa kumpinga Wala kumkosoa.

Eee Mungu ingilia Kati.
Sijui kwann hata mm nnamaono haya 😥😥😥
Ubaya hawana ujanja tena
 
Ndugu zangu Watanzania tufunge na kuomba kwa imani shetani asipate tena mpenyo kutuletea mateso. Kama watumishi wa umma tunateseka , je jobless huko wanavyoteseka?
Ni Hadi ahakikishe nchi imefirisika kabisa Kama Zimbabwe
 
Kuna fo fo two inaandaliwa kwa ajili ya mpenzi wa Mungu adumu kwenye kiti cha enzi eti bila yeye hatutoweza pata rais kama yeye
 
Ndugai amesema kuwa wanahitaji wabunge wengi ili waweze kuamua chochote wanachotaka! Hili kwa hakika linakuja.
Kwa kuangalia lugha za mwili kwa Mgombea Uraisi wa CCM,Tabia zake,wapambe wake na watu wananonufaika naye.
Ni kwamba Kama akichaguliwa na akarudi madarakani juweni kuwa hatoki Tena baada ya miaka mitano ijayo.Anakwenda kubadili katiba na Kuondoa ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani.

Huo ndio ukweli mchungu.
Wanufaika wake wameisha Anza kuandaliwa kutaka aendeleee,mfano Juma Nkamia,Ali mwinyi na wabunge wengi tu waliopita.

Umpende usimpende huyo utakua nae mpaka Mungu atakapo mpenda yeye.

Tusubiri muda utathibitisha niyasemYo.

Someni alama za nyakati mtagundua.

Hebu fikiria mateso yote haya halafu unakuabnae kwa muda usiokua na kikomo,kila kitu anaamua yeye na hamna wa kumpinga Wala kumkosoa.

Eee Mungu ingilia Kati.
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
Jobless TZ?

Tulibahatika tuliofundishwa kushika jembe..
Degree tupa kule nikaingia shamba...

Soon ntaajiri mwenye PhD kunifanyia research zangu..
Ndugu zangu Watanzania tufunge na kuomba kwa imani shetani asipate tena mpenyo kutuletea mateso. Kama watumishi wa umma tunateseka , je jobless huko wanavyoteseka?
 
Mungu Ni mwenye haki hata akinyamaza Leo hakika atatenda na kumpa kila mtu ile impasayo.
Tujitokeze tukapige kura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom