Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Jamani,
Mvua si wa Thailand wataleta?
Tatizo nini?
Samahani nilisahau kuwa kuna waleta mvua toka Thai na Viet.
Kumbe waweza toa rushwa kwa waleta mvua ili inyeshe Kidatu na Mtela.
Jamani,
Mvua si wa Thailand wataleta?
Tatizo nini?
bado umemsahau
6.Kurunziza
Sheikh Yahya Alikwashesema,Watu wanaokuwa na Herufi M pamoja na Kitu they mostky likely kuwa Viongozi.
Mwandosya
Makamba
Madabida
Membe
Mathayo David
Malechela
Mwinyi
Mkapa
Mugabe
Moi
Mbeki
Mwanawasa
Mongella(MRS)
Mwanakijiji
sasa Odinga wapi na wapi?
Surely wanajambo mna mambo! mlitegemea Membe aseme kwamba anaunga mkono wanaokandia safari za raisi? tangu lini mtu mwenye akili akakata tawi alilokalia? the only place you can say whats true to your heart is in JF not at the foreign minister's office, especially not in his press release when he is alive! jamani, hajafikia kujiuzulu eti!
Watuambie faida zilizopatikana kwa Muungwana kukwea pipa kila mara sio waje na kauli mali.alisema kuwa wale wanaomlaumu rais laiti wangejua faida ya hizo safari wasingesema sana na kumlaumu sana rais bila sababu za msingi.
,Wamefikia hadi hatua ya kumuita Vasco da Gama
.hii ni heshima kubwa sana, kwani huko Ureno kuna majumba mpaka mitaa yenye hilo jina, na mimi Membe ningeitwa hivyo ningefurahi sana, alisema waziri Membe
Mambo mengine yanakera sana hayahitaji ubongo wa ziada kuyang'amua......Mwaka jana Rais Kikwete, alisafiri mara 17 nje ya nchi kulinganisha na Mbeki wa Afrika Kusini, aliyesafiri mara 21. Bila ya kupata rais wa kuhangaika, nchi haiwezi kuendelea. Alikwenda US kutafuta na kupewa dola 698 millioni na karibuni mtaona matunda yake.