Siri ni kichaka cha kuficha madhaifu , uzembe wa jeshi la jwHivi huo usiri husaidia nini? ikiwa mataifa yenye nguvu za kijeshi kama China, Russia, Iran, Israel, Turkey n.k huonyesha uwezo wao kijeshi, hii Tanzania kuna siri gani?
Hio siri inasaidia nini?
Ukija kuchunguza kwa undani utaja gundua waliopewa hiyo kozi ni uñdugunaization.Sikuwahi jua kuna operation ka hiyo
Bila shaka hata mgambo hujawahi pitia!Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...
Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...
Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..
Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mabomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote..
Imewaumbuaje Russia ilhali Russia imeshamega mikoa mitano ya Ukraine!?Siri ni kichaka cha kuficha madhaifu , uzembe wa jeshi la jw
hii kitu imewaumbua sana Russia kwenye vita vya Ukraine.
Itakuwa bye bye Mana jeni...hahahaRwanda vs Tanzania 😂😂
Utata ni pale Malawi watakapohitaji ziwa lao
Ziwa lao kivipi mkuu!?Rwanda vs Tanzania 😂😂
Utata ni pale Malawi watakapohitaji ziwa lao
Mwarabu anajua biashara tu hicho kitengo yupo vizuriHawa waarabu wa Gulf hawawezi kabisa kusaidia kwa njia ya kivita kwani wao wenyewe wanaogopa kupigwa na uwezo wa kupigana hawana.
Mashariki ya Kati hapo wamebaki kama wasuluhishi tu
Na kama ukienda Qatar wao kazi Yao ni kujionyeaha tu
Makundi yakipigana anawaita wote na kujifanya anawasuluhisha
Baada ya hapo anawapa majumba ya kudumu wote
Wapo mpaka Taleban, Alshabab, na hata Hamas
Pia Mr Slim nae ana nyumba Qatar ya kupewa pamoja na Rais wa DRC
Kuna wakati waliitwa wakasuluhishwa Baada ya hapo wakapewa na mijengo
Sijui na mimi nikinukishe na nani halafu tukapatanishwe huko
Mchina sio yule kweli hawa ni wapya kabisa na wenye tamaa ya kula tu
Maslahi mbele ukitaka viwanda watakupa ni wewe tu na mfuko wako.
Yaani ni bora kujiimarisha haswa na pia kuwa na marafiki ambao wanaweza hata kukupa msaada mkubwa ukiwahitaji ila sio wale wa zamani
Watusi ndani ya Tanzania wasipewe vitengo vya mamlaka au utawalaAlichokifanya Kikwete ni kuwasumbua Watanzania wa Kabila la Watusi ambao wengi wao wapo Tanganyika Tangu ya miaka ya 1830s
Hilo tuMwarabu anajua biashara tu hicho kitengo yupo vizuri
Kweli wao wanajua kuweka mzigo tu skills tumia za kwako kuzalisha bidhaa mitambo tunakuleteaHilo tu
Yeye akipata za mafuta ananunua nusu ya London
Kwa sasa Qatar wanaongoza kwa kununua majengo na biashara na hata Heathrow airport wana shares kubwa tu kwa sasa
Wako vizuri
Emirates nao hivyo hivyo
Haka ka Nchi ni kama Israel. Kanafumua viongozi tu.Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Niliwahi kuhisi kitu kama hiki.Alichokifanya Kikwete ni kuwasumbua Watanzania wa Kabila la Watusi ambao wengi wao wapo Tanganyika Tangu ya miaka ya 1830s
Tunao akina Mwam na kina Kuhani tutapambana naye kwa maombi na upakoTanganyika is no more.
Wakinukishe tuone hiyo nguvu ya Rwanda anayojidai kama kweli anayo.Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...
Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...
Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..
Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mabomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...