Ukisikia dhana "mockery of justice", huu ni mfano wa hali ya juu kabisa.
What is LAKI MOJA?
Angekuwa sio mwanachama wa CCM wangethubutu kumtoza faini hiyo?
Na hizo fujo wanazodaiwa kuzifanya CHADEMA ni zipi? Zile za kupiga waandishi wa habari na kuchoma moto mabango na wagombea na bendera za CHADEMA, au ni zipi?
Yuko wapi kilaza Nape alieandika kwenye ukurasa wake wa fcbk kuwa hakuna ttzo kwa mtu kupanda na bastola jukwaani,kweli ccm masaburi yao haifanyi kazi kabisa vilaza tupu
Hiyo ni adhabu ya tume ya maadili, je tutegemee adhabu nyingine baada ya upelelezi ulioamriwa na waziri muhusika?
Kamati ya maadili imempiga faini tsh 100000/ kwa kosa la kwenda na silaha kwenye mikutano ya kampeni
Kamati ya maadili imempiga faini tsh 100000/ kwa kosa la kwenda na silaha kwenye mikutano ya kampeni