Kagera: Mfanyabiashara wa Kahawa anusurika kwenda Jela miaka 7 kwa kulipa Tsh. Milioni 1

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Kagera: Mfanyabiashara apigwa faini ya Tsh. Milioni 1 kwa kuwasilisha Nyaraka za Uongo

Ni uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kyerwa dhidi ya Jackson Kalikawe ambaye ni Mfanyabiashara aliyekutwa na hatia ya Makosa mawili ikiwemo kuwasilisha nyaraka zenye taarifa za Uongo

Kwa mujibu hati ya Mashtaka, Mshtakiwa alitumia nyaraka zilizoghushiwa na kubadilishwa tarehe ya mwisho wa matumizi na kujipatia Kibali cha kusafirisha Kahawa kinyume na Sheria

Mshtakiwa aliamriwa kulipa Faini ya Tsh. 500,000 kwa kila kosa au kwenda Jela kwa miaka 7 ambapo alifanikiwa kulipa fedha hizo na kuachiwa huru.
 
Back
Top Bottom