Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,024
- 1,617
Mahakama ya Wilaya ya Lindi imemhukumu Isaya Makali Lucas, Daktari tarajali wa Hospitali ya Rufaa Sokoine kwenda Jela Mwaka 1 au kulipa faini ya Tsh. 1,000,000/= baada ya kukiri makosa ya kushawisi na kupokea hongo ya Tsh. 70,000/=.
Mshtakiwa huyo alipokea hongo ya Tsh. 70,000/= kutoka kwa Yusufu Hamisi Juma ambaye ni ndugu aliyekuwa akimuuguza Mgonjwa Saidi Omari Nyanyari
Mshtakiwa amelipa faini ya Tsh. 500,000/ = kwa kila kosa na kuachiwa huru
Chanzo: TAKUKURU