OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,243
- 103,924
Mchezaji wa Yanga Africa, Shomari Kibwana ametozwa Faini ya Shilingi Milion Moja kwa kosa la kuonekana akiondoa taulo la Mlinda lango wa Klabu ya Mashujaa Lilikokuwa limewekwa Pembeni ya Lango wakati mchezo huo unaendelea.
Adhabu hii ni Kuzingatia Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji .
Adhabu hii ni Kuzingatia Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji .