Smile naona umeamua kujipa promo mwenyewe...sitaki vitu tena nataka mtu
Nitafsirie kila kitu kwanza ili na mimi nijifunze alafu ntakukubalia kwa kilugha chenu kuonyesha msisitizo.
Ngoja nije nitafsiri
ile nipe muda
hiki kitochi kinanisumbua
Nilimuuliza;
Huchoki kubeba box🙁
sie tunafurahia home 🙂
akajibu;
mnafurahia nini wakati mmefulia?
Mie napiga kazi
kwa ajili ya badae.
nikamjibu:
he he he he, humkumbuki hata maza ako?
Unanichekesha
akajibu:
mwanamme kuhangaika
nikirudi huko nani atanilipia bills
acha nijitume, ntarudi uzeeni
Nilimuuliza;
Huchoki kubeba box🙁
sie tunafurahia home 🙂
akajibu;
mnafurahia nini wakati mmefulia?
Mie napiga kazi
kwa ajili ya badae.
nikamjibu:
he he he he, humkumbuki hata maza ako?
Unanichekesha
akajibu:
mwanamme kuhangaika
nikirudi huko nani atanilipia bills
acha nijitume, ntarudi uzeeni
You are my hero/heroine.
Nakaa mbali na wewe
ntaingia kwenye migogoro bure
Kadugaka ndio kuzeeka?
Mnasemaje ndio/nimekubali/sawa/sijui/sitaki/subiri?
Wabheja bhabha/mama. . . LolzNdio - nahene
Nimekubali - nakutogagwa
sawa - ehebanga / nichalage duhu
sijui - nhumana
sitaki - njigo
subiri - lembelaga nkoi
itabidi unilipe bwana
Kwanza naomba nianze kwa kukuomba Mr Michael samahani kwa kuchelewa kujibu post nzuri uliyoandika juu yangu,nilitingwa na shughuli,im sorry.
Pili naomba nitoe special thanks kwa Gaijin,Nyani Ngabu,bht,sweetlady,kongosho na wengine wote mlioniongelea kwa kutumia maneno mazuri ya kunipamba.Hamjui kiasi gani mmetia faraja moyoni mwangu na ninaomba mfahamu mmekua na nafasi maalum moyoni mwangu.Mungu awabariki sana wapendwa wangu.
Mr Michael sitampatia jibu lake hapa hadharani kwa sababu :
Kutokana na alivyoniandalia hii post kiheshima naona kama vile nitamuaibisha nikimkatalia hapa nyote mkishuhudia,bora pm.
Pia hata kama ingetokea nimkubalie sitakua na ujasiri wa kukubalia hapa hadharani nitaona aibu.
Kaka Mr Michael anaonekana ni mstaarabu ,gentleman na matured,kama kweli ana nia ya kupata mwenza namuombea kila la kheri na nina amini atapata sawasawa na jinsi moyo wake unavyotamani.
Asante sana Mr Michael for this wonderful thread.
I cant stop smilling.
Habari za kwako Queenkami?
habari ni pouwa,nothing to complain about.
mbona umebold hapo?
Basi tu ni pamevuta nadhari yangu.
QK mbona umeshamkatalia hapa hapa jamvini?
Mr. naniiii pole.