Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Kami.

Watu kwa majungu, mwenyewe alisema anampenda kama kaka nyie mnang'ang'ania kua ni zaidi. Si mtoe tu hongera yaishe?

yaani watu hata sijui niwajibuje.
ofcoz nina kila sababu ya kumpenda Ngabu wasionielwa basi mradi nilishaeleza nampendaje,
Uzuri hata Mikael nimeshamueleza kwa nini nampenda Nyani Ngabu.
 
yaani watu hata sijui niwajibuje.
ofcoz nina kila sababu ya kumpenda Ngabu wasionielwa basi mradi nilishaeleza nampendaje,
Uzuri hata Mikael nimeshamueleza kwa nini nampenda Nyani Ngabu.

Hadi avatar umebadilisha kutoka ile ya huzuni huzuni na sasa ni full tabasamu kwa kwenda mbele. Safi sana Queen.
 
yaani watu hata sijui niwajibuje.
ofcoz nina kila sababu ya kumpenda Ngabu wasionielwa basi mradi nilishaeleza nampendaje,
Uzuri hata Mikael nimeshamueleza kwa nini nampenda Nyani Ngabu.

Unawapotezea tu wasije wakakuibia furaha yako bureee.
 
akikutosa nione hutojuta mkuu

eeh bana eehh.........................si mchezo.........................!ila wewe si uko kimaterial zaid.i...............................!Mr.Mikael kuwa mwangalifu...................................usije hapa ukatuambia umehonga nyumba yako bila kujijua.....................................
 
Sasa ndo nini hii?

[TABLE="class: profileInfo"]
[TR]
[TD="class: text, width: 300, bgcolor: #ffffff, colspan: 3"]Queen Kami
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="class: text, width: 75, bgcolor: #ffffff"]
[/TD]
[TD="class: text, width: 15, bgcolor: #ffffff"]
clear.gif
[/TD]
[TD="class: text, width: 193, bgcolor: #ffffff, align: left"]
2fa44ab47ff07ee3aad0c5e64dfa9d59.jpg
.. ..
Hapo kuna huu uzi

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sasa hizi link za kizushi zinahusiana vipi na mada?
 
Back
Top Bottom