Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

i know.
hapo bluu im so happy kuwa bado unaikumbuka.

queenkami,sijui ni ww ni dada au mdongo wangu ila naomba nikushauri.
kama uko single na unahitaji mtu,mm sio pimp ila huyu kaka naona kama anastahili umfikirie.
Hatuwezi kusema ni mtu mzuri au mbaya sbb kuna mengi bado unahitaji uyajue juu yake na yeye pia lazima kuna mengi atahitaj ayajue juu yako,Ila huu wasifu wake kwa kweli unaridhisha kuanzia nao,leo ni mara ya kwanza kuichukulia seriously post ya kumfia mtu humu jamvini,wengi nawaona kama wanatania tu ila huyu kaka kuna kitu kinanambia yuko serious.
Kuna kitu nataka kukwambia ila naogopa kuna watu wataniua humu ila queenkami kumbuka msemo usemao MPENDE AKUPENDAE ASIYEKUPENDA ACHANA NAYE.
Naona kama unachezea bahati yako kwa kuweweseka na watu ambao naona kama vile unajilazimisha kwao na mbaya zaidi hawana mpango na wewe,Shauri yako shosti wee chezea shilingi chooni ikipotea hutaiona tena.
 
Hmmm Queenkami anaweweseka na kujilazimisha kwa watu gani hao wasio na mpango naye?

Manake nijuavyo Queenkami hajawahi kusema anampenda yeyote humu "kimapenzi".

Nimehisi umenilenga mimi kwa sababu umenukuu bandiko la Queenkami alilonijibu mimi kuhusiana na ile mada yake ya 'I love Nyani Ngabu' ambapo aliweka bayana kabisa ni 'love' ya aina gani aliyonayo kwangu!

Naomba ufafanue tafadhali.
 
CM embu funguka bana. . . wa kukuua hamna.

no way sifunguki zaidi,nikiuliwa hapa utaishia tu kusema ooh cheusi mwanga wa milele ukumulikie ooh eeh bwana mpe pumziko ooh cheusi tulikupenda zaidi bwana akakupenda zaidi kumbe mmeniponza.
 
Hahahahaha. . .c'mon Cheusie, naahidi.kukutetea kwasababu hapa ni JF tunapothubutu kuongea kwa uwazi.
 
Hmmm Queenkami anaweweseka na kujilazimisha kwa watu gani hao wasio na mpango naye?

Manake nijuavyo Queenkami hajawahi kusema anampenda yeyote humu "kimapenzi".

Nimehisi umenilenga mimi kwa sababu umenukuu bandiko la Queenkami alilonijibu mimi kuhusiana na ile mada yake ya 'I love Nyani Ngabu' ambapo aliweka bayana kabisa ni 'love' ya aina gani aliyonayo kwangu!

Naomba ufafanue tafadhali.

mkuu NN heshima kwako kaka yangu.
kwa kweli hata sijui nianzie wapi maana sikutegemea kabisa kama ungechukulia hivi.
Mkuu sijakulenga wewe,imetokea tu nikanukuu hapo lkn nilitaka kuandika bila kunukuu.
Mim nimeona kama majibu yake yamekaa kumkataa ndo nikaona kama msichana mwenzake nimshauri.
Narudia tena mkuu NN sijakulenga wewe sbabu hata ningekulenga wewe Queenkami nahisi anakufahamu vizuri zaidi yangu na inaonesha nyie ni marafiki so ni uamuzi wake kunisikiliza au kunipuuzia.
Mkuu NN umenishitua hadi mwanangu ananipiga mateke huku tumboni.
Natumaini umenielewa mkuu.
 
Ooh haya basi kama ni hivyo hamna neno. Nilishtuka tu kuona hivyo nikasema mbona Da'Cheusie anataka kunichafulia wasifu wangu...

Msalimie mwanao mtarajiwa. Mwambie uncle Ngabu can't wait to see him/her.
 
nashukuru umenielewa.
mjomba wako ametulia baada ya kusikia salam zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom