Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Mr. Mikael

Huyo huyo Ngabu ndie hasaa anafaa kuwa mshenga. Niamini mimi kaka. Ngabu akisikia kilio chako basi umepita with flying colors

nakubali,mim na Nyani Ngabu tumeshapinga urafiki tayari.
 
We mbona una haha leo? Au ndo unajipanga kwa ajili ya Valentine?

Btw, nina Barnes & Noble Nook tablet....brand spanking new. Unaitaka? Maana najua unapenda vitu

Ngabu, kuna vitu na vitu, na watu na watu bwana....usitanie
 
Back
Top Bottom