Queenkami mim sio mgeni hapa Jamii Forums maana nikiwa kama guest haikosi siku bila ya mim kufika hapa na kusoma mambo mbalimbali yanayojiri hapa.
Leo imebidi nijiunge ili niweze kukueleza yaliyoko moyoni mwangu.Baby im not a stalker lakini nimekua nikikufuatilia sana tokea siku ya kwanza nilipokuona kupitia post uliyoandika.
Ulokole,upole,heshima na umakini wako kwa kila unachoandika umetia chachu moyoni mwangu kutaka kujua mengi kuhusu wewe.
Mim sio tajiri wala msomi wa elimuya juu sana ila nina degree moja tu na pia nimejiajiri mwenyewe katika biashara inayonipatia mahitaji yangu yote muhimu.
Umri wangu ni miaka 35 na pia ni mlokole ninayeishi jijini Dar es salaam katika nyumba yangu mwenyewe,niko single lakini nina mtoto wa miaka 6 anayeishi na mama yangu.
Baby queenkami iwapo umri wako hauzidi miaka 40,uwe umesoma au hujasoma lkn mwenye kuweza kusimamia biashara iwapo huna ajira,na kama haupo Dar ukubali kuhamia dar na iwapo upo single tafadhali sana baby queenkami naomba unipe nafasi nakuahidi kuwa yule mwanaume ambaye wanawake wote wanatamani wawe nae.
Baby queenkami im not joking, tafadhali nipe nafasi.
:A S-heart-2: