Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Yaani humu ndani kila shetani na mbuyu wake. Queen na Ngabu, Gee na ...., Bee na ....

Tunaombwa tusindikize kwa burudani.

Gaijin umenikosesha raha ghafla,ila si wako kiutani zaidi au kuna nisilolijua?
 
Gaijin umenikosesha raha ghafla,ila si wako kiutani zaidi au kuna nisilolijua?

Hapana Mkuu wangu hujanielewa. Yaani Ngabu akikupigia chapuo basi Malkia ni wako. Ushauri wa Ngabu unathamani kubwa kwa Malkia
 
Watu mnatafuta sehemu raisi ndio mnafanya CHAGULAGA mbona kwenye mipingo kama FAIZA FOX hamfanyi CHAGULAGA?

mpe hii kitu lazima aingie king mkuu

Ni wewe Queenkami Duniani eee mwenye mwendo wa maringo na hatua za hesabu,
nifanye nini Duniani ee ujue nakupenda walakamwe sintakwacha
Nangoja nini Duniani ee bila ya kuwa na wewe mwenye shingo ya upanga

fahari yako nakusifu ee kwa sura yako safi mwenye shingo ya upanga
Ninayo ya umuhimu Queenkami eee,njoo nikweleze eeee mwenzangu

Mwenye mwendo wa maringo,hatua za hesabu,tabia ya pekee mwenye shingo ya upangaa

sinta kwachaaa ,sintakwacha,sintakwacha,sintakwacha

Nateseka kungoja fanya uje kwa haraka ni wewe Queenkami wangu mwenye shingo ya upanga
 
Hapana Mkuu wangu hujanielewa. Yaani Ngabu akikupigia chapuo basi Malkia ni wako. Ushauri wa Ngabu unathamani kubwa kwa Malkia

okay sasa nimekuelewa,noted.
hapa ni mwendo wa kujikomba kwa Nyani Ngabu tu,si unajua mtaka cha uvunguni
 
Hapa naona wote fulu vitochi
SL hajaonana na PC mwezi wa sita huu...lol!
Hahahaha! Nikigundua kuna mbavu yangu imepata ufa utanilipia nauli ya kwenda Apolo india..
 
Yule alokupa weye
Ndo kaninyima mimi

Na kama riziki anatoa yeye
Basi ntakosa mimi

Ila mola ndo anayetoa
Tena kwa foleni, hata niko nyuma
Nitapata lazima

ASILE, HANA MAANA YULE
MIMI NA YULE, TULIPENDANA YULE
 
Waliotangulia wametangulia, waliobaki wana haki ya kuendelea na maisha.

No..no...no!

Wewe na hicho kihirizi chako huruhusiwi humu! Usijemzibia Queenkami riziki yake bure!

Haya rudi kule kwenye yako. Manake hicho kihirizi chako si mchezo. Kinadatisha wengi.
 
Kila la kheri Mr. Mikael, usije ukamnyanyasa tu binti wa watu.
 
No..no...no!

Wewe na hicho kihirizi chako huruhusiwi humu! Usijemzibia Queenkami riziki yake bure!

Haya rudi kule kwenye yako. Manake hicho kihirizi chako si mchezo. Kinadatisha wengi.

Come on now. . .
Kama jamaa amedata mpaka akaja kivingine sidhani kama anaweza akaweweseka kirahisi. Ila ikitokea ndo nzuri ili QK ajue kabisa mshkaji sio macho tu bali hata moyo haujatulia.
 
Come on now. . .
Kama jamaa amedata mpaka akaja kivingine sidhani kama anaweza akaweweseka kirahisi. Ila ikitokea ndo nzuri ili QK ajue kabisa mshkaji sio macho tu bali hata moyo haujatulia.

Hicho kihirizi chako sijaona mpinzani wake bado!

Ule namba nyhafu gete ubhebhe
 
Back
Top Bottom