Queenkami:Umeugusa moyo wangu.

Ooh haya basi kama ni hivyo hamna neno. Nilishtuka tu kuona hivyo nikasema mbona Da'Cheusie anataka kunichafulia wasifu wangu...

Msalimie mwanao mtarajiwa. Mwambie uncle Ngabu can't wait to see him/her.

Ahsante kwa kunirahishia kazi.

@Cheusie. . haya mama twende kazi.
 
Hii kazi kubwa... Queenkami anampenda Nyani Ngabu na Queenkami amependwa na Mr Mikael na hapo hapo Nyani Ngabu anampigia Debu Mr Mikael... Mtihani mkubwa kwa QueenKami...Katika Maisha ya Kimapenzi...

Akienda kwa Nyaningabu ambaye hajastuka kihisia na akienda kwa mr mikael akubali kuwa mama wa Kambo! anyway yote Maisha tu
 
hahaha Duduwasha hapa umewasha sana! Wewe utakuwa kiwavi tu......lol

Queen alisema lini kuwa anampenda kwa mapenzi anayoyataka Mr.Mark? :lol:
 
Nimerudi kuwapatia shukrani nyote mlionitia matumaini,Queenkami ameshanipatia majibu yangu kwa njia ya private message lakini nasikitika kwamba siwezi kuwajulisha ni majibu ya aina gani.Hata hivyo nyote mlioniweka katika maombi naweza tu kuwaambia kwamba Bwana hujibu maombi hivyo asanteni sana.Kitakachoendelea kuhusu mim na Queenkami tutawajulisheni pale tutakapofikia katika hatua inayoruhusu kufanya hivyo.
Thanks friends for your support.
 
Hii kazi kubwa... Queenkami anampenda Nyani Ngabu na Queenkami amependwa na Mr Mikael na hapo hapo Nyani Ngabu anampigia Debu Mr Mikael... Mtihani mkubwa kwa QueenKami...Katika Maisha ya Kimapenzi...

Akienda kwa Nyaningabu ambaye hajastuka kihisia na akienda kwa mr mikael akubali kuwa mama wa Kambo! anyway yote Maisha tu
mkuu sidhani kama hilo ni tatizo.
 
jamani mmeona hapo red?inaonesha wameshakua mwili mmoja..inaonesha bibie katoa majibu positive aililililiiii ailililii mwenye wivu ajinyonge.Tunasubiri sample ya kitambaa cha kitchen party.hii si ya kukosa.
 
Nimerudi kuwapatia shukrani nyote mlionitia matumaini,Queenkami ameshanipatia majibu yangu kwa njia ya private message lakini nasikitika kwamba siwezi kuwajulisha ni majibu ya aina gani.Hata hivyo nyote mlioniweka katika maombi naweza tu kuwaambia kwamba Bwana hujibu maombi hivyo asanteni sana.Kitakachoendelea kuhusu mim na Queenkami tutawajulisheni pale tutakapofikia katika hatua inayoruhusu kufanya hivyo.
Thanks friends for your support.

Amina Amina ukiomba kwa imani na bidii bwana hujibu maombi
 
Hii kazi kubwa... Queenkami anampenda Nyani Ngabu na Queenkami amependwa na Mr Mikael na hapo hapo Nyani Ngabu anampigia Debu Mr Mikael... Mtihani mkubwa kwa QueenKami...Katika Maisha ya Kimapenzi...

Akienda kwa Nyaningabu ambaye hajastuka kihisia na akienda kwa mr mikael akubali kuwa mama wa Kambo! anyway yote Maisha tu

Sasa ndo nini hii?
 
Kili Kili Kli Kli KLI

Hiyo ni hatua ya kwanza kwa kweli.

Nimerudi kuwapatia shukrani nyote mlionitia matumaini,Queenkami ameshanipatia majibu yangu kwa njia ya private message lakini nasikitika kwamba siwezi kuwajulisha ni majibu ya aina gani.Hata hivyo nyote mlioniweka katika maombi naweza tu kuwaambia kwamba Bwana hujibu maombi hivyo asanteni sana.Kitakachoendelea kuhusu mim na Queenkami tutawajulisheni pale tutakapofikia katika hatua inayoruhusu kufanya hivyo.
Thanks friends for your support.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom