Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,550
nilidhani kule juu nilipokupatia special thanks ndo pangekuvutia zaidi.
Aaah si unajua tena si wanaume akili zetu zilivyo.
Btw, bado naikumbuka sana ile sredi yako ile....
nilidhani kule juu nilipokupatia special thanks ndo pangekuvutia zaidi.
asante kaka kwa kuona hilo.
Ila napata hofu maana sijui akija atasemaje.
Im nervous.
QK mbona umeshamkatalia hapa hapa jamvini?
Mr. naniiii pole.
take it easy nothing will go wrong.
Qk umeanza vizuuuuri ila hapo katikati na pale mwisho ukaja kama kuharibu hivi, anywei Mr Mike, ol the best...
i know.Aaah si unajua tena si wanaume akili zetu zilivyo.
Btw, bado naikumbuka sana ile sredi yako ile....
i know.
hapo bluu im so happy kuwa bado unaikumbuka.
Encouraging news to Mr. Mikael.
Mr Michael uko wapi,njoo huku upokee majibu yako.
Wewe Gentleman wako yuko wapi leo?
dearest lizzy sidhani kama kuna mahala nimemkubalia au kumkatalia.
labda hujanielewa vizuri dear,au labda maelezo yangu yanaonesha hivyo lkn sivyo.
Mr Michael sitampatia jibu lake hapa hadharani kwa sababu :
Kutokana na alivyoniandalia hii post kiheshima naona kama vile nitamuaibisha nikimkatalia hapa nyote mkishuhudia,bora pm.
Pia hata kama ingetokea nimkubalie sitakua na ujasiri wa kukubalia hapa hadharani nitaona aibu.
Kaka Mr Michael anaonekana ni mstaarabu ,gentleman na matured,kama kweli ana nia ya kupata mwenza namuombea kila la kheri na nina amini atapata sawasawa na jinsi moyo wake unavyotamani.
Asante sana Q'kami, nafurahi vile umekuja manake angalau Mr. Mikael atapata faraja, tumefanya kazi kubwa sana kumtia moyo! Ubarikiwe pia mpendwa.Kwanza naomba nianze kwa kukuomba Mr Michael samahani kwa kuchelewa kujibu post nzuri uliyoandika juu yangu,nilitingwa na shughuli,im sorry.
Pili naomba nitoe special thanks kwa Gaijin,Nyani Ngabu,bht,sweetlady,kongosho na wengine wote mlioniongelea kwa kutumia maneno mazuri ya kunipamba.Hamjui kiasi gani mmetia faraja moyoni mwangu na ninaomba mfahamu mmekua na nafasi maalum moyoni mwangu.Mungu awabariki sana wapendwa wangu.
Mr Michael sitampatia jibu lake hapa hadharani kwa sababu :
Kutokana na alivyoniandalia hii post kiheshima naona kama vile nitamuaibisha nikimkatalia hapa nyote mkishuhudia,bora pm.
Pia hata kama ingetokea nimkubalie sitakua na ujasiri wa kukubalia hapa hadharani nitaona aibu.
Kaka Mr Michael anaonekana ni mstaarabu ,gentleman na matured,kama kweli ana nia ya kupata mwenza namuombea kila la kheri na nina amini atapata sawasawa na jinsi moyo wake unavyotamani.
Asante sana Mr Michael for this wonderful thread,I like you too.
I cant stop smilling.
akikutosa nione hutojuta mkuu
Asante sana Q'kami, nafurahi vile umekuja manake angalau Mr. Mikael atapata faraja, tumefanya kazi kubwa sana kumtia moyo! Ubarikiwe pia mpendwa.
Mr Michael uko wapi,njoo huku upokee majibu yako.
Huyu Mr. Mikael mbona analeta uzembe....ntampunguzia points mimi.
Asante sana Q'kami, nafurahi vile umekuja manake angalau Mr. Mikael atapata faraja, tumefanya kazi kubwa sana kumtia moyo! Ubarikiwe pia mpendwa.
mmmmmmmhhhh za Ifakara?