Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

#HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa.

Nipashe
Baada ya kuagizwa na waziri mkuu
 
Halafu kitu kingine ingawa sina uhakika nacho,hicho kijiji kuna uwezekano kipo baada ya kupita mitambo ya kuzalisha maji.Yaani hapo ni maji yanaelekea baharini. Nasema hivyo kwa sababu mto ruvu una tabia ya kutapika maji
Huwa yanajaa kiasi kwamba kwa mgeni huwezi kujua mto upo sehem gani inakua ni kama bahari. Hiyo hutokea sana kwa sehemu ya juu huku kabla hujafika ruvu darajani pale
 
Kwa mujibu wa taarifa za mamlaka ya bonde Wami/ Ruvu ni kwamba yule mchina aliyekamata akichepusha maji ya mtu Ruvu kwa shughuli za umwagiliaji mashine ( pump) yake ina uwezo wa kuvuta Lita milioni moja ( 1,000,000) kwa saa.

Haya maji ni mengi sana, hongera Juma Awesu.

Uzalishaji wa maji ulishuka kutoka Lita milioni 520 hadi 350.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Such important infrastructure hailindwi? Mim sielewi hilo, kumbe t unaweza Kunuea sumu eneo halina ulinzi??!!!!
 
Sasa uwekezaji mnaowaita waje wawekeze, watatoa wapi maji ya kumwagilia hayo mashamba mliowapa ya uwekezaji?
 
Back
Top Bottom