DAWASA: Wakazi wanaohudumiwa na Mtambo wa Maji wa Ruvu Juu, Kukosa Maji kuanzia Jumamosi Septemba 16 - 17, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA WANAOHUDUMIWA NA MTAMBO WA RUVU JUU

15.09.2023

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na Wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa muda wa saa 24 * kwa siku ya *Jumamosi Septemba 16, 2023 hadi Jumapili Septemba 17, 2023.

Sababu: Kuruhusu matengenezo kwenye miundombinu ya uzalishaji na usambazaji maji ambayo yatasaidia kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji.

Maeneo yatakayoathirika ni;
Ruvu darajani, Ruvu JKT, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Mile 35, Misugusugu, Kongowe, Soga, Miembe saba, Kwa Mfipa, Mwendapole, Tanita, Kwa Mathias, Kwa Mbonde, Pichandege, Lulanzi, Kibaha, Kiluvya, Kibamba, Mbezi, Magari Saba, Mbezi inn, Mbezi, Kimara,Tabata, Kinyerezi, Kisukuru, Msigani, Maramba mawili, Tabata, Kimara B, Kimara Korogwe, Bucha, Baruti,Ubungo, Kisarawe, Ukonga, Pugu, Uwanja wa ndege, Majumba sita , Kiwalani na Gongo la Mboto na Kisarawe

Tafadhali kumbuka kuhifadhi maji ili kuweza kuyatumia kipindi cha matengenezo.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja
0800110064 (bure) au
0735 202 121(WhatsApp tu)

Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano
 
Huku maji hamna, kule umeme chali! Miaka 62 ya uhuru na vyanzo lukuki vya umeme. Na bado mnakiamini chama hiki?
 
Back
Top Bottom