raia wa china

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Polisi yakamata watu 4 wanaohusika na kifo cha Mchina, Baozhang Ge

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amethibitisha kukamatwa kwa Watu hao katika maeneo tofauti ndani ya Tanzania ambapo...
  2. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya raia wa China yanaendelea kuharibu taswira ya nchi yetu

    Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji. Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china. Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Raia wa China auawa na Walinzi wa Kampuni yake na kuondoka na Tsh Milioni 10

    Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna harufu ya rushwa Idara ya Uhamiaji kutumika kuhuisha vibali kwa raia wa China waliomaliza muda wa kuwepo nchini

    Kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwepo mijadala kuhusu kasi ya ongezeko la raia wa kigeni kutoka China. Kasi hiyo imeibua mijadala mseto katika jamii, hususan kupitia mitandao ya kijamii. Kuna kundi linaloona kuwa kasi hiyo inaweza kuchochea mabadiliko ya kiuchumi, hasa katika sekta ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Raia wa China, Xiuzhu Yan amburuza DPP na IGP Mahakamani kupinga kushikiliwa Mahabusu kwa Siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Raia saba wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kusafirisha na kuwatumikisha raia wa Malawi Afrika Kusini kinyume na sheria

    Mahakama jijini Johannesburg imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwa kosa la kusafirisha binadamu kutoka Malawi na kuwalazimisha kufanya kazi kiwandani nchini Afrika Kusini. Kundi hilo lilikutwa na hatia Februari 25 kwa kuwasafirisha raia 91 wa Malawi wasio na...
  7. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wameiomba serikali iwaondoe raia kigeni (Wachina) wanaofanya umachinga

    Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

    Wawekezaji kutoka China wakiendelea na shughuli za uwekezaji wa biashara zao Jijini Dar. Pia soma Samia: Msiruhusu Wageni Kufanya Biashara za Wenyeji ==== UNAPOTEMBEA katika Mitaa ya Agrey, Nyamwezi, Livingstone, Swahili na Congo jijini Dar es Salaam, ni kawaida kuona raia wa kigeni...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Xie Xiamao aka Celine, amehukumiwa kulipa faini Tsh. milioni 2 kwa kufanya biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na kibali

    RAIA wa China, Xie Xiamao maarufu Celine, amehukumiwa kulipa faini sh. milioni mbili au kwenda jela miaka mitano , baada ya kutiwa hatiani kwa shtaka la kufanya biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na kibali. Hukumu hiyo imetolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchina aingilia Miundombinu ya TCRA na kusababisha hasara Tsh. Milioni 221

    Raia wa China Li Naiyong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu , akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita likiwemo kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh221 milioni. Naiyong amesomewa mashtaka yake leo, Februari 15, 2023 na...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufutiwa kesi ya Uhujumu Uchumi, Raia wa China watoka Nduki mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Washtakiwa hao ambao wote ni raia wa China ni Jin Erhao...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Junior Kasanga na raia wa China, wakamatwa wakitorosha dhahabu waliyochimba

    Mkuu wa wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya na kamati yake ya usalama wamemkamata mwekezaji Mtanzania Junior Kasanga akishirikiana na watu wengine wakiwemo raia kutoka nchini China wakitorosha madini ya dhahabu waliyochimba kwenye mgodi uliopo kijiji cha Isyanga wilayani humo. -- Serikali wilayani...
Back
Top Bottom