Dem wa kimachame tangu akuchanganye yani umechanganyikiwa.Kuna msemo wa kizungu kwamba "the first bite is the deepest" huwezi kubadili feelings na passion ya mtu alie anza nae ata ufanye je yule atabaki mwoyoni mwake kama reference yake kwako, ili limenikuta ni kalikimbia mapema, ila naona rafiki zangu wawili hili linawatesa wale ma singo maza wao wana wapelekesha kila jambo family quarrals kila siku
leo nime watolea uvivi na nika wambia ukweli kulingana na nilio pitia mimi mwenyewe nikiwa na singo msza, kwamba bora uumwe ugonjwa wa salatani hatua ya tatu kuliko kuoa hao watu walio zalishwa na wanaume wengine kwasbb cancer level three unameza tu vidonge vitatu kila baada ya mwezi na unapona, kuliko kero zao huziishi mpaka ufe au afe.
Wanatafuta huduma sio mapezi kwako tena, mapenzi ali yaacha aliko anzia.Wanaoleka vizuri tu.uwoga wako tu.
😉Wanaoleka vizuri tu.uwoga wako tu.
Niligundua badaye kwamba alikua singo maza ni katemana nae kwa usalama wangu.Dem wa kimachame tangu akuchanganye yani umechanganyikiwa.
Mkabidhi Yesu na kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein maisha yako.
adriz
Kushoto ndio kuna shida alioikimbia mdau wetu ?Njia azifanan Mkuu
Me nitapita right
Mkuu hapo unatafuta ugonjwa wa kudumu bora utongoze house girl ambae aja zalishwa kuliko grafuate ambae kazalishwa na dume lingine hapo ni kama inanunua kesi.Kwa leo usitegemee kama ntakuunga mkono kuna demu wa namna hiyo namvizia usije kuniharibia ngoja kwanza anikatae nikipata hasira ntarudi
Mi ni katili ila we jamaa ni katili sanaMkuu hapo unatafuta ugonjwa wa kudumu bora utongoze house girl ambae aja zalishwa kuliko grafuate ambae kazalishwa na dume lingine hapo ni kama inanunua kesi.
Am Medical practioner mkuu cancer level three naijua, kero zao uzijui huwezi kumiliki demu mkiwa wawili mna share loh.Yaelekea huijui cancer wewe
Niligundua badaye kwamba alikua singo maza ni katemana nae kwa usalama wangu.
Mapenzi kwasasa bila hizo huduma , ni ngumu kuyapata ni bora uishi kulingana na wakati , kuokoa afya ya akili mkuu .Wanatafuta huduma sio mapezi kwako tena, mapenzi ali yaacha aliko anzia.