Gospel KTV
Senior Member
- Aug 23, 2025
- 194
- 328
- Thread starter
- #81
Pombe ni dhambi. Dhambi ni kitu chochote chenye matokeo yanayoleta uharibifu wa akili, ufahamu na mwili kwa binadamu. Pombe inaleta uharibu wa akili, ufahamu na mwili.Pombe si dhambi.
Hapa duniani hakuna dhambi bali tafsiri.