Pombe ni dhambi, acha kuitumia

Pombe ni dhambi, acha kuitumia

Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu

Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
  • Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
  • Unaongea kama teja au zombi
  • Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
  • Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
  • Wapo wengine wanavua hadi nguo
  • Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
  • Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.

Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Huna hela kaa kimya
 
Eeh mkuu umepiga story ya mvinyo kweli, lakini hapo kwenye soda umenikuta... mimi nashindwa kuachana na coca cola, mbona hiyo pia ina kafeini? Haha... lakini kweli pombe inabadilisha mtu, juzi nilimwona jamaa akicheza dansi ya kukokota barabarani usiku, nilidhani ni mwendo wa mademu...
 
Back
Top Bottom