Gospel KTV
Senior Member
- Aug 23, 2025
- 175
- 287
Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.