Basi tuendelee kuyumba yumba🤣Sitishiwi kizembe hivyo shindii, hana hela ya pombe huyo
Sijui ambao hawanywi pesa wanapeleka wapi , ukiwaangalia hawana hata maendeleo ya kutisha😅Basi tuendelee kuyumba yumba🤣
Juisi ni gharama🤣Sijui ambao hawanywi pesa wanapeleka wapi , ukiwaangalia hawana hata maendeleo ya kutisha😅
Matunda ya 5000 tu unakamua juice jagi tatu gharama gani sasa hapoJuisi ni gharama🤣
Elfu 5 unanunua embe moja tu shindii. Bado umeme wa kukamulia na kuihifadhi🤣Matunda ya 5000 tu unakamua juice jagi tatu gharama gani sasa hapo
Sidhani kamueni hata mapera😅Elfu 5 unanunua embe moja tu shindii. Bado umeme wa kukamulia na kuihifadhi🤣
🤣🤣🤣🤣 akuu, tunataka utamu.Sidhani kamueni hata mapera😅
Mtanenepeana kama Maputo🤣🤣🤣🤣 akuu, tunataka utamu.
Dogo pambania maisha yako. Achana na mambo ya pombe. Sie wanywa pombe sio sababu wewe kuwa na maisha magumu! Achana na sisi!Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
🤣🤣 na presha za kutosha.Mtanenepeana kama Maputo
Dah hii mbaya sana , pressure na sukari limekua janga kwa vijana wadogo kabisa , miaka 30 mtu tayari.🤣🤣 na presha za kutosha.
Mtoa mada ni kama wale walokole wakionaga mjusi ndani wanasema toka Pepo toka PepoDr am 4 real PhD tule pombe daktari, mnyama vodka amesha simama mezani kwa wivu mkubwa sna
Pombe ni dhambi.Dogo pambania maisha yako. Achana na mambo ya pombe. Sie wanywa pombe sio sababu wewe kuwa na maisha magumu! Achana na sisi!
Kwaiyo hapo ukipiga inakuwaje Kuna myumbo
Asante sana, na si kuacha kabisa.