Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,204
- 4,613
Kula sio dhambi
Ila ukipitiliza? Inakuwa nin?
Ila ukipitiliza? Inakuwa nin?
Hakuna aliyemkamilifu chini ya Jua.Nayeye anawajibika kwa dhambi yake.
Ukiona mtu akinywa Pombe anasababisha matatizo ujue huyo muhusika tayari alikuwa ni tatizo kabla hata hajanywa.Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Hakuna kosa hapo...Kosa ni kwa atakaye mvua nguo mwenzie bila ridhaa yake..Kuzini ni kosa?
Kuyumbayumba ni kosa?
Kuongea mwenyewe ni kosa?
Kuvua nguo ni kosa?
Kosa ni nini?
Kweli.Hakuna kosa hapo...Kosa ni kwa atakaye mvua nguo mwenzie bila ridhas yake..
Mbona Yesu alikunywa pombe kwahiyo alitenda dhambi?Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
SAwa vipi kuhusu bangi nayo ni dhambi,leta kifungu.Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Tusiofanya hayojeUtakuta mtu mdomo umejaa machicha ya pombe anaongea hovyohovyo, anamsahau mke wake, anatukana watoto akirudi kulewa alafu anasema pombe sio dhambi.
Sio sahihi kusema hivyo. Ukweli ni kwamba kitu chochote kile kikitumika vibaya ni dhambi. Tumia pombe kiasi na usilewe. Ulevi ni dhambi, ulafi ni dhambi, ukifanya sana tendo la ndoa na mkeo kiasi cha kupitiliza ni dhambi kama ulevi na ulafi.Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Pigaa pombe piga pombeee weyee acha wogaaa!
Unatukosea mkuuBinadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu