Pombe ni dhambi, acha kuitumia

Pombe ni dhambi, acha kuitumia

Pombe Unaisingizia Tu Wala Haina Shida...Shida Ni Ya Yule Mtumiaji Wa Pombe...
Pombe Wala Haijishughulishi Na Kufuata Watu Bali Watu Wao Ndio Wanaifuata Monde....Sasa Hapo Mwenye Tatizo Ni Nani..??
 
Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu

Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
  • Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
  • Unaongea kama teja au zombi
  • Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
  • Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
  • Wapo wengine wanavua hadi nguo
  • Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
  • Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.

Pombe ni dhambi. Acha pombe.

Ndugu mdau Gospel KTV,
Hoja yako ina ukweli mkubwa sana unapoangazia madhara ya matumizi yaliyokithiri ya pombe (alcohol abuse). Ni kweli kabisa kisayansi kuwa ulevi wa kupindukia unaharibu mfumo wa fahamu, unapunguza uwezo wa kufanya maamuzi sahihi, na husababisha matatizo makubwa ya kijamii kama ukatili na ajali.

Hata hivyo, ili kuweka mtazamo wa usawa, ni vyema kutofautisha kati ya "unywaji wa kiasi" na "ulevi wa kupindukia". Tukitumia mantiki yako, hata kula chakula zaidi ya uwezo wa tumbo lako kuna madhara makubwa kiafya. Je, tuache kula chakula kabisa kwa sababu tukiacha kujizuia tutapata maumivu ya tumbo au magonjwa?
Kama inavyoonekana kwenye jina lako la jukwaani (handle), unaonekana wewe ni Mkristo. Katika ukristo na maandiko, ulafi au kuvimbiwa (gluttony) pia kunahesabiwa kama dhambi na upungufu wa kiasi. Je, Wakristo waache kula chakula kabisa, hata pale ambapo hakuna madhara, kwa sababu tu kuna hatari ya kula kupitiliza na kuvimbiwa?

Ningekuunga mkono kikamilifu kama ungetuletea sababu za kisayansi zinazoonesha jinsi ulevi unavyoathiri mwili na jamii. Lakini kwenye masuala ya kidini na imani, mitazamo ni mingi na ni vyema kuwaachia watu binafsi na dhamiri zao. Changamoto kubwa haipo kwenye kile kinywaji au chakula, bali ipo kwenye uwezo wa mwanadamu wa kujizuia (self-control).
 
Kama unaamua kujilaza kwenye sehemu yenye mbu kwa makusudi ni dhambi tena dhambi kubwa sana. Ila kama ni bahati mbaya sio dhambi.

Mkuu Gospel KTV, hapa sasa umezidisha ukali wa hukumu na unaonekana kuishi kwenye ulimwengu wa kufikirika badala ya uhalisia wa maisha ya Kitanzania. Mdau Idimulwa ameeleza wazi kuwa changamoto kubwa kwa wengi ni "hela ya kununulia net na repellents". Je, tangu lini umaskini au kukosa uwezo wa kifedha kukawa dhambi kubwa ya kumpeleka mtu jehanamu?
Mtu anayelala sehemu yenye mbu kwa sababu hana fedha ya kununulia chandarua hafanyi hivyo "kwa makusudi" ya kutaka kuumwa, bali hana namna. Kumuita mtu maskini kuwa ni mtenda dhambi kubwa ni kukosa huruma na utu kabisa.
Kama kweli wewe ni mtu wa kiroho kama handle yako inavyoashiria, napenda kukukumbusha andiko hili kutoka Mithali 14:31: “Anayemwonea maskini humsuta Muumba wake; bali yeye amrehemuye mhitaji humheshimu.” Maandiko yanatutaka tuwasaidie na kuwahurumia wenye uhitaji, siyo kuwatwika mizigo ya lawama na kuwabatiza kuwa ni wenye dhambi kwa sababu tu ya mazingira magumu ya maisha yao.
Mkuu, mantiki yako ikifuatwa, inamaanisha kila uzembe au changamoto ya kibinadamu sasa hivi itakuwa ni dhambi:
  • Mtu akisahau kuchemsha maji akapata kipindupindu, hiyo ni dhambi.
  • Mtu akila vyakula vya mafuta akapata shinikizo la damu, hiyo ni dhambi kubwa sana.
  • Mtu akivuka barabara akajikwaa akaumia, huyo amemkosea Mungu kwa makusudi!
Ukiendelea hivi, mwisho wa siku utatwambia hata mtu anayepaliwa na chakula au anayechelewa kulala kwasababu anatafuta riziki naye ni mtenda dhambi anayepaswa kutubu. Huwezi kugeuza changamoto za kiafya, kiuchumi, au uzembe mdogo wa kibinadamu kuwa ni masuala ya hukumu ya kiungu. Punguza ukali wa ramli za dhambi, shuka chini kwenye uhalisia wa maisha ya watu!
 
AI
 
Mkuu Gospel KTV, hapa sasa umezidisha ukali wa hukumu na unaonekana kuishi kwenye ulimwengu wa kufikirika badala ya uhalisia wa maisha ya Kitanzania. Mdau Idimulwa ameeleza wazi kuwa changamoto kubwa kwa wengi ni "hela ya kununulia net na repellents". Je, tangu lini umaskini au kukosa uwezo wa kifedha kukawa dhambi kubwa ya kumpeleka mtu jehanamu?
Mtu anayelala sehemu yenye mbu kwa sababu hana fedha ya kununulia chandarua hafanyi hivyo "kwa makusudi" ya kutaka kuumwa, bali hana namna. Kumuita mtu maskini kuwa ni mtenda dhambi kubwa ni kukosa huruma na utu kabisa.
Kama kweli wewe ni mtu wa kiroho kama handle yako inavyoashiria, napenda kukukumbusha andiko hili kutoka Mithali 14:31: “Anayemwonea maskini humsuta Muumba wake; bali yeye amrehemuye mhitaji humheshimu.” Maandiko yanatutaka tuwasaidie na kuwahurumia wenye uhitaji, siyo kuwatwika mizigo ya lawama na kuwabatiza kuwa ni wenye dhambi kwa sababu tu ya mazingira magumu ya maisha yao.
Mkuu, mantiki yako ikifuatwa, inamaanisha kila uzembe au changamoto ya kibinadamu sasa hivi itakuwa ni dhambi:
  • Mtu akisahau kuchemsha maji akapata kipindupindu, hiyo ni dhambi.
  • Mtu akila vyakula vya mafuta akapata shinikizo la damu, hiyo ni dhambi kubwa sana.
  • Mtu akivuka barabara akajikwaa akaumia, huyo amemkosea Mungu kwa makusudi!
Ukiendelea hivi, mwisho wa siku utatwambia hata mtu anayepaliwa na chakula au anayechelewa kulala kwasababu anatafuta riziki naye ni mtenda dhambi anayepaswa kutubu. Huwezi kugeuza changamoto za kiafya, kiuchumi, au uzembe mdogo wa kibinadamu kuwa ni masuala ya hukumu ya kiungu. Punguza ukali wa ramli za dhambi, shuka chini kwenye uhalisia wa maisha ya watu!
AI
 
Pombe Unaisingizia Tu Wala Haina Shida...Shida Ni Ya Yule Mtumiaji Wa Pombe...
Pombe Wala Haijishughulishi Na Kufuata Watu Bali Watu Wao Ndio Wanaifuata Monde....Sasa Hapo Mwenye Tatizo Ni Nani..??
Umewahi kujaribu kupanda daladala za usiku utajionea live hekaheka za wanywa pombe usiku.
 
Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu

Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
  • Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
  • Unaongea kama teja au zombi
  • Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
  • Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
  • Wapo wengine wanavua hadi nguo
  • Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
  • Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.

Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Dhambi ni nini?
 
Yesu mwenyewe alitengeneza pombe sembuse kunywa ? Nilisema hapa jf kuwa mitume na manabii wengi walikunywa pombe hata yesu kanywa pombe ...Hata chakula kinapo fikia daraja la ulafi kinakuwa haramu na dhambi, pia pombe inapo fikia daraja la ulevi ndiyo dhambi na haramu...ulevi na ulafi ni mtu kufikia hatua ya akili kutawaliwa na pombe na chakula, siyo akili kutawala unywaji na ulaji
 
Kuzini ni kosa?
Kuyumbayumba ni kosa?
Kuongea mwenyewe ni kosa?
Kuvua nguo ni kosa?

Kosa ni nini?
Mijitu inayopenda sheria kiasili ina Roho Mbaya

Ukiona jitu linaabudu sheria liogope

NB: si vibaya kupenda sheria.! Ila kuabudu sheria ni viashiria vya ushenzi

Itoshe kusema hakuna mlevi mwenye roho mbaya
 
Wanasema mwaka jana asilimia 30 ya ajali za barabarani zimesababishwa na pombe. Kwa maoni yangu hizi asilimia nyingine 70 zimesababishwa na watu wanaokunywa soda na juice
 
Muujiza wa kwanza wa Masihi Yesu kristo aliufanya huko kana ya Galilaya alipobadili maji kuwa divai (Mvinyo) baada ya kilaji kwisha kwenye harusi ambayo Mama yake Yesu Maria aliarikwa. Na hata baada ya kuyabadili maji kuwa mvinyo na kupelekewa watu wa meza kuu (nadhani watakuwa wachaga wa Rombo) na wakasema " eeeh hii ndio yenyewe 🤣).

Wakuu pombe sio dhambi kwa sisi wakatoliki, dhambi ni matendo yako maovu baada ya kunywa pombe au kutokunywa pombe, Kunywa pombe usimsumbue mtu, rudi nyumbani kalale na hakikisha unatimiza majukumu yako kwa ukamilifu.

Ukishindwa kutumia pombe kistaarabu basi ni vyema ukakaa mbali nayo ili kuepuka taharuki ambazo zinaweza kukukumba kutokana na matokeo hasi ya kunywa pombe.

Siku zote kumbuka "Kunywa kistaarabu"
 
Mkemia anayejua athari za ulevi vizuri hawezi kutengeneza pombe yenye ufisadi ndani yake. Pombe inaua viungo vya ndani vya watu. Inaua figo na ini. Kwahiyo anatenda dhambi ya kuua.
So mkemia anayetengeneza Hennesy hajui athari za ulevi? Wakemia wanaotengeneza expensive alcohol za hadi zaidi ya 2m kwa chupa ya mls 750 hawajui athari za ulevi na pombe kiumjumla? Pombe za kifisadi ni zipi? Hebu heshimu Kemia, huenda wewe hata kubalance equation ndogo tu ya form 2 hujui.
 
Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu

Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
  • Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
  • Unaongea kama teja au zombi
  • Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
  • Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
  • Wapo wengine wanavua hadi nguo
  • Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
  • Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.

Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Bishana na biblia sasa!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20260814_040222_Chrome.jpg
    Screenshot_20260814_040222_Chrome.jpg
    44.7 KB · Views: 4
Both God and Satan dislikes Alcohol.
Sijui kwnn.
Pombe haikubaliki kwa wachawi.
Pombe ni mwiko kwa dunia ya majini.
Tena sasa bora hata Mungu aliwahi kufanya kazi na walevi.
Noah wa safina alilewa chakali na kuonwa nyeti zake na watoto....
Mtoto wake mtukutu akaangua kicheko..
Mungu akamchalaza laana huyo mtoto.

Funzo
Hata mlevi akikosea ni makosa kumuhukumu.
Tuwapende walevi, ni wazazi wetu, ni watoto wetu, ni majomba zetu, ni rafiki zetu.
 
Allah wa waislam anajua utamu wa Gambe.!

Kavunja kaunta hajasema Mabalasi tu.! Ile mito kwa maziwa. 🤗
 
Back
Top Bottom