Polisi wafanya unyama mpya mgodini Nyamongo

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
Pamoja na wanaharakati, wasomi, na wanahabari, wanasiasa na wanajamii kuingiwa na wasiwasi na kujitahidi kulaani unyama uliofanywa na polisi kule IRINGA kwa kuua mwandishi wa habari wakituo cha television chahanel 10.

Leo kama kwaida yao wameonesha ubabe mkubwa kwa kuvamia barabara na kuanza kupiga wananchi huko TARIME mara kwenye makazi yaliyo karibu na mgodi wa north mara hatimaye wakarusha risasi na mabomu yaliyojeruhi akina mama wawili na watoto watatu, kwenye mji wa mzee ngewa ikumbukwe kuwa tarehe 29 walikuwa wameua watu watatu jamani tunaenda wapi
 
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.
 
wajibu wao ni kuuwa?
 
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.

Mkuu nakushauri siku moja uende huko ili ujionee mwenyewe na kujua watu wanachomaanisha
 
usitoe akili!
Kama walivamia wangewakamata na kuwafikisha mahakani, hizi bunduki naona zinawawasha hawa polisi, ni bora tumvamie Joyce Banda (nia tunayo, uwezo tunao na sababu tunayo) halafu hawa polisi tuwaweke mstari wa mbele, kwani wanaonekana kuwa wanashabaha sana, watatusaidia kushinda vita mapema.
 
Haki ya nani siamini?! Yaani Akina Mura je nkuteme mbane! wapigwe kirahisi hivyo? Haiwezekani!
 
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.

Ni sababu gani za msingi zinazowafanya polisi waamue kupiga wananchi, ambapo kwamba njia nyingine zote za kusimamia sheria zimeshindikana isipokuwa kuwapiga?
 
Sababu kuu ya polisi kutumia nguvu ni pale ambapo wanaona usalama wao au wa wanaowalinda uko hatarini. Kitendo cha kuvamia na kushambulia mgodi kinachozoeleka kufanywa na wananchi waishio migodini kinaweza kuwa mfano mzuri wa sababu inayoweza kuwafanya askari kutumia nguvu za ziada. Sidhani kama ni sahihi maisha ya watu wengi yahatarishwe kwasababu kuna wananchi wanajisikia kufanya hivyo.
 
ni sheria ipi unayoifahamu inaruhusu kupiga, kujeruhi na kuua raia under whatever circumstance??Siku zote nakukumbusha subiri yakupate wewe au ndugu yako auawe then you will regain your sense and think twice when it come to the question of Tanzanian police!!
 
Mkuu nakushauri siku moja uende huko ili ujionee mwenyewe na kujua watu wanachomaanisha
sio aende mimi namuombea sana limpate yeye au ndugu yake atawanywe kama marehemu Daud(R.I.P) tuone kama ataendelea na kauli hizi za kejeli wakati watu wanauawa na kutiwa vilema vya kudumu ndani ya nchi yao bila kosa!
 
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.

Inaelekea wewe ni msaidizi wa IGP Mwema unapokea maelekezo ya kuua na kuyapeleka kwa hao polisi. Kwako wewe uhai wa binadamu ni upuuzi. Ngoja auawe ndugu yako na hawa polisi tuone kama utaendelea na hizo kejeli zako. Ridiculous!!!!!
 
Sababu kuu ya polisi kutumia nguvu ni pale ambapo wanaona usalama wao au wa wanaowalinda uko hatarini. Kitendo cha kuvamia na kushambulia mgodi kinachozoeleka kufanywa na wananchi waishio migodini kinaweza kuwa mfano mzuri wa sababu inayoweza kuwafanya askari kutumia nguvu za ziada. Sidhani kama ni sahihi maisha ya watu wengi yahatarishwe kwasababu kuna wananchi wanajisikia kufanya hivyo.

Wewe unatania kama hutanii basi una kasoro fulani kichwani. Seriously you must be joking!
 
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.
malipizi ni hapa hapa duniani iko siku na wewe utapata shida wanazopata wenzako
 
Ni sababu gani za
msingi zinazowafanya polisi waamue kupiga wananchi, ambapo kwamba njia
nyingine zote za kusimamia sheria zimeshindikana isipokuwa
kuwapiga?

Ukweli nakuheshimu sana mzee mwanakijiji,kwa nini kwanza tusiwafundishe raia kutii mamalaka na kuacha vurugu? haiingii akilini eti polisi aje nyumbani kwa mtu ampige pasi na sababu! hebu tuache ushabiki!
 
Kumbe polisi wanawafundisha raia kutii sheria bila shuruti?
 
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.

Hadi wamama na watoto wanavamia siku hizi? Tafadhali ndugu yangu mbona wanipa wasiwasi na kauli zako.
 
Ni sababu gani za msingi zinazowafanya polisi waamue kupiga wananchi, ambapo kwamba njia nyingine zote za kusimamia sheria zimeshindikana isipokuwa kuwapiga?

Polisi hutumia nguvu pale tu watu wanapofanya ukaidi wa kutokutii amri za mwanzo. Usijifanye hilo hulijui.
 
Back
Top Bottom