Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Wasalam, natafakari kwa kina sipati jibu kichwa kinauma. Nafikiri wakati umefika sasa serikali yetu sikivu ya ccm na jeshi la police watuambie ni kinanani walitaka kumuua tundu lisu kama wamekwama waunde tume ya kimahakama ichunguze swala hili, au waruhusu vyombo huru vya uchunguzi kutoka nje ya nchi yetu. Ova.
muda bado kila kitu kitakua wazi palipofikia ni pazuri kua na subira
 
Si mwenyekiti wenu wa Chadema alishawatajia waliotaka kumuua Lissu au naye pia hamumuamini? Hata dereva wake ambaye ana ramani yote ya tukio naye kagoma kuwatajia muhusika. Hiyo serikali mnayotaka iseme ni ipi, ni hiii hii ambayo mnaituhumu? Je wakiwaambia mtawaamini?
 
Hata mkiambiwa hamtoamini..ni kuacha tu..baada ya muda mtasahau..maana lisu mwenyewe si wa dunia hii tena
 
Ni haki yetu tuambie waliofanya tukio maana kipindi cha uchaguzi mkuu 2015 baada ya Tume kuanzisha shughuli zima za uchaguzi kuna matukio mengi yalitokea ya watu kugeukana na kuitana WASALITI na hata wengine kuhama au kuondoka nchini.

Kama utafuatilia sana na kuwa makini kuna umafia umefanyika kwa watu kununuliwa au kusahau maneno yao na kukaa kwa kuangalia faida tu ya madaraka bila kuangalia athari zake.

Viongozi wa dini walitumika kufanya mapatano na baadhi ya watu kwa mitizamo yao na kuwatisha wale ambao hawakutaka kutumia ujuzi wao kuwaingiza ktk nyumba fulani za viongozi na baadhi wanajisahau UKITUMIKA TU BASI NAWE USUBIRI KUFANYIWA ULIYOWAFANYIA WENZAKO. Na hao viongozi leo wapo kimya tu ila Kila jambo lina mwisho wake.
 
Hahahahaha eti iwataje wahusika ? ili iweje? mimi kwa kupitia kidogo taarifa za matukio ya nyuma nahitimisha kuwa hao watu wako salama na hawatabugudhiwa milele, jarbu kufikiria . aliye mtolea bastola Nape baada ya uchunguzi ilionekana hakuwa askari na mambo yakaishia hapo . Pia walo enda kulipua ofisi ya wakiri Karume walibainika siyo askari ila walikuwa wamevaa sare za polisi then hakuna zaidi ya hapo .sasa ni shambulio la Risasi kweli Tuamini kuna kipya?
 
Wasalam, natafakari kwa kina sipati jibu kichwa kinauma. Nafikiri wakati umefika sasa serikali yetu sikivu ya ccm na jeshi la police watuambie ni kinanani walitaka kumuua tundu lisu kama wamekwama waunde tume ya kimahakama ichunguze swala hili, au waruhusu vyombo huru vya uchunguzi kutoka nje ya nchi yetu. Ova.
Subiri dereva atibiwe msongo wa mawazo atasaidia sana kwenye upelelezi
 
Wakati wa UKUTA tuliambiwa hawawezi kupokea msaada kutoka kwa watu wasio na u juzi au utaalamu wa kijeshi. Je tumeshaupata huo u juzi?
 
kwa kauli kama hizi bora wakaziacha . kama wameshindwa waruhusu idara zingine hata kutoka nje zije .
 
Back
Top Bottom